Introducing A|CSEE Professional –“A Spreadsheet”

Introducing A|CSEE Professional –“A Spreadsheet”

Kwa kipindi fulani nimekuwa nikiongeza baadhi ya feature mbalimbali. Kitu cha muhimu ambacho nimekiongeza ni "BRN System" kwa kutumia mfumo huu unaweza kuchagua kutafuta matokeo kwa kutmia mfumo wa zamani au huu wa sasa wa BRN. Kitu kingine cha msingi ni summary ambayo itakusaidia kupata summary ya matokeo mfano div 1 zipo ngapi n.k bila kupoteza muda.

angalia video hii

Last edited by a moderator:
MKuu,
grades za BRN ( A, B+, B, C D E F )
zina apply kwenye hii application,
pia mbona iko limited kwa serial No hadi 10 tu?
Naomba msaada,
ile video ya youtube sijafanikiwa.
(naomba nbp 0688406937)
 
MKuu,
grades za BRN ( A, B+, B, C D E F )
zina apply kwenye hii application,
pia mbona iko limited kwa serial No hadi 10 tu?
Naomba msaada,
ile video ya youtube sijafanikiwa.
(naomba nbp 0688406937)

hii ni v3.0 kipindi inatoka kulikuwa hakuna habari za BRN lakini kwenye toleo lijalo yaani v3.1 nimeweka grade za BRN

hizo serial kuwa hadi 10 ni kwa sababu hilo toleo lilitoka kama demo, likitoka lile toleo full litakuwa na idadi ambayo ni unlimited
 
bwana nyasiro how can i get a full version ambayo ipo update na carent grades nipo mwanza!!!
 
Sorry mkuu kuna mtu alikuwa anaulizia software kama hii lakini akongeza kigezo kimoja kama inaweza na kutoa GPA! Vipi hii ina uwezo huo ili nimnunulie!?
 
mnaweza wasiliana na Nyasiro kwa namba 0757449054
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom