- Thread starter
- #21
asante mkuu chief-mkwawa usisahau kuleta fidibaki...
Last edited by a moderator:
nakubali kwenye excel utaweza kupata total na average lakini sio division. kwa kutumia hii software yangu unapata division, points, total na average automatically na accurately. pia Kang kumbuka hii software yangu ina uwezo wa ku-interpreti marks kama zikiwa katika namba(0-100) au grades za kawaida (A-F). pia inacontrol penalty na kudetect invalid inputs pamoja na vitu vingine vingi tu. naomba angalau udownload halafu unipe feedback
Excel ina uwezo wa ku-interpret namba na maandishi A-F kwa kutumia IF statements, sikumbuki div 3 na 4 na fail zinaanza point ngapi ila ntajitahidi kufyatua sample. Nimedownload ila hii Admin Privileged inanipa mashaka kidogo.
nasubiri hiyo sample. lakini kiukweli inabidi ukubaliane na mm kuwa ni process ambayo itakuwa ni ngumu au inaweza isiwezekane kenywe excel hasa kwa mtumiaji wa kawaida anayejua tu kuclick na kusave. pia kuna mambo mengi ambayo yanahitaji instruction za ukweli mfano. kwa hawa wanafunzi wa o'level huwa matokeo yao yanapatikana kwa kuchukua masomo yao saba waliyo faulu sasa kwenye excel utafanya vipi kudecide kwamba hizi ndiyo best score... na mengine mengi sana ambayo hayawezekani.
kuhusu admin privilege wala usiwe na shaka manake digital signatures zinagharama mno.
View attachment 83023
ila nnayo signature yangu ambayo sijaiinclude kwenye executable maana Root Certificate yake bado inamatatizo.
View attachment 83024
Hongera kwa hatua uliyofikia... ngoja niidownload kisha taleta feedback
Yote hayo yanaeezekana excel kwa sababu ina full programming environment, checking VBA. Of coz ni ngumu kwa mtumiaji was kawaida kuitengeneza hiyo spreadsheet idea yangu ilikuwa ni spreadsheet isambazwe kwa watumiaji ikiwa tayari. Sina wasiwasi na signing, ila ni kwa nini inahitaji hiyo Admin rights program yako? Nitainstall kwenye VM nitesti
Kwenye kibox cha sex labda ungeweka ikubali F/M tofauti sasa mtu anaweza andika neno lolote ikakubali
but congratulation mkuu, na kingine je unaweza weka i arrange wa kwanza na wa mwisho kwa kufuata marks walizopata.
Naona ingekuwa vizuri kama ile auto division calculator ingekuwa inafanya kazi na mouse sio tu na zile arrows. kwa mfano nikiingiza result zangu then nikaedit kisha nikaclick cell ya pembeni bila kubonyeza arrows huwa haiupdate division mpaka niponyeze arrows ndio ina change division
hivi civics haina penalt sikuizi maana sijaona penalt kwenye civics!
Excel ina uwezo wa ku-interpret namba na maandishi A-F kwa kutumia IF statements, sikumbuki div 3 na 4 na fail zinaanza point ngapi ila ntajitahidi kufyatua sample. Nimedownload ila hii Admin Privileged inanipa mashaka kidogo.
Installer pekee inapaswa idai admin rights na maybe updater kama itaandika mafaili katika PF folder. Kama issue ni kuandika na kusoma data, kuna data folders kwa kila program ambazo ni unprotected na hauhitaji admin rights. Program Files si kwa ajili ya data files but "program files"inahitaji rights kwa sababu inahitaji ku-access special folders kama Program Files,
Angalia isiwe ikawa unaandika ktk shared registry. Hauhitaji Admin rights kuandika ktk program yakopia kila program inaporun huwa inaandika, inarekebisha na kufuta Registry entries zake ili ifanye kazi vizuri.
Nadhani Admin rights zibaki katika Installer na Updater. That is standard and adds value to usability!Utaombwa Admin rights unapofanya setup na unapotaka kuupdate software tu. ila unaporun kawaida inarun as Invoker na haitaomba admin rights. Kang kwa nini unatainstall kwenye Virtual Machine?
neno sex halijakaa vizuri sana, limekaa kingono, badala yake nyasiro angetumia neno GENDER au vipi?Kwenye kibox cha sex labda ungeweka ikubali F/M tofauti sasa mtu anaweza andika neno lolote ikakubali
but congratulation mkuu, na kingine je unaweza weka i arrange wa kwanza na wa mwisho kwa kufuata marks walizopata.
Reading Docs at Removed Featuresneno sex halijakaa vizuri sana, limekaa kingono, badala yake nyasiro angetumia neno GENDER au vipi?
I agree with @C6The following is the list of some of removed features
REMOVED FEATURES
1. Automatic numbering
2. Automatic sex
3. The program will not expire
4. Registration is now optional