Introducing A|CSEE Professional –“A Spreadsheet”

Introducing A|CSEE Professional –“A Spreadsheet”

Installer pekee inapaswa idai admin rights na maybe updater kama itaandika mafaili katika PF folder. Kama issue ni kuandika na kusoma data, kuna data folders kwa kila program ambazo ni unprotected na hauhitaji admin rights. Program Files si kwa ajili ya data files but "program files"

Cf. Where Can I Find Application Data folders in Windows 7? - Microsoft Community

Angalia isiwe ikawa unaandika ktk shared registry. Hauhitaji Admin rights kuandika ktk program yako
Cf. windows - Changing registry without admin rights - Stack Overflow

Nadhani Admin rights zibaki katika Installer na Updater. That is standard and adds value to usability!

BH

1. Naelewa kabisa kudai admin rights huwa sometime inaboa ndo maana katika program hii admin rights zinapatikana sehemu tatu tu. a) katika installation b) katika updater kwa sababu ile faili ya updater inakuwa stored katika program files c) kama unataka kuactivate program pia itabidi kwanza u run as admin...sitaongegelea mengi hapa manake ni sensitive issue. CTO huwa sipo konfotabo na Application Data folders

2. A|CSEE pro inatumia hii registry key HKEY_CURRENT_USER\Software\ACSEE hapo ndipo settings nyingi zinakuwa stored na kuwa retrieved. unaweza kupitia hizo keys na kujaribu kumodify (@ ur own risk).

3. admin rights zipo kwenye installer na updater ila nna mpango hata wa kuto katika updater zibaki kwenye installer pekee
 
Last edited by a moderator:
neno sex halijakaa vizuri sana, limekaa kingono, badala yake nyasiro angetumia neno GENDER au vipi?

duuuuh C6 hapa kuna utata lakini kumbuka hii software iko castomizable so mtu anaweza kubadili ile SEX akaweka neno analotaka yeye...
 
Last edited by a moderator:
hako ka window kandani nakushauri ukaweke kawe kana jimaximize automatically kila unapofungua hiyo program, sion umuhimu wa kukaweka kawe kadogo wakati unapotaka kutumia lazima kawe maximized
 
deojames hilo nalo neno... ni kweli kabisa ntafanya hivyo. tena kwa kuongezea the next version itakuwa inauwezo wa kukumbuka position ya windows zote child window pamoja na parent window
 
Last edited by a moderator:
ivi naweza kuingiza score kwa namba halafu yenye ikaniconvertia kwenda kwenye grade?
 
ivi naweza kuingiza score kwa namba halafu yenye ikaniconvertia kwenda kwenye grade?

ina uwezo wa kuzitambua grades zifuatazo.(valid grades/inputs)

1. a-f (kwa herufi ndogo)
2. A-F (kwa herufi kubwa)
3. 0-100
4. -(dash), E, S, X
kulingana na engine husika(csee/acsee)

pia unaweza kumix grades za namba na herufi na kupata matokeo!
unapotype namba yenyewe inadect kuwa ni grade flani lakini haioneshi(au haiconvert na kuonesha moja kwa moja) lakini kuna hii feature ambayo niliiondoa kwamba ukiandika namba automatically inaonesha kwa pembeni ni grade gani mfano ukityp 70 yenyewe inachange na kuonesha hivi 70(B)

unachek hii sample (pia inapatika kwenye \My Documents\ACSEE Sample Docs na kwenye desktop wakati unainstall.
sampo.PNG
 
mimi nivyofaham matokeo ya form 4/6 yanavyotoka yanakuwa interms of grade sasa kama hiyo software haibadilishi utakuwa unampa mwingizaj data kazi ya kubadil marks kwenda grade ili ndio aingize ndio aprint, nakushauri hiyo feature uiweke.
 
nahisi bado cjakuelewa, hii software hata kama ukiweka namba inatoa matokeo yaleyale kama ambayo ungetumia grades za herufi(A-F). kama feature ya kukonvert basi ntaiweka ili iwe rahisi zaidi kutumia.
lakini kwa matokeo ya kawaida ya shule huwa wanapenda kutumia marks badala ya grades
 
ninachomaanisha pale kwenye cell/column ya somo niwe naweza kuchange to grade kama nilingiza namba. E.g. Kama nimeweka 92 nikichagua option ya kuchange isiniwekee 92 tena ila A. Hiyo feature nivizuri ikawepo hata kama sec. Wanapenda kutoa matokeo kwa number/maksi ili anayetaka aitumie
 
ooooh hapo nimekusoma mkuu una mawazo mazuri sana... ntafanya hivyo, asante sana kwa mawazo yako. naomba uendelee kunitaftia features nyingi za kuongeza.
 
Napenda kuwashukuru wote kwa michango yenu kwenye hii thread, kwa PM kwa simu n.k maoni yenu ni muhimu sana na muda si mrefu ntaanza kuyafanyia kazi na kuupdate toleo lililopo sasa ambapo mtu ataweza kuupdate kupitia kwenye program moja kwa moja au kwa kudownlaod manually kupitia upgrade.nyasiro.com
 
Kutokana na mabadiliko ya alama mpya na upangaji wa madaraja uliotangazwa na wizara ya elimu siku chache zilizopita, nimeona pia kuna haja ya kufanya mabadiliko katika programu hii ili kuiwezesha iendane na mfumo mpya ambao umeondoa Division 0. Muda sio mrefu toleo hili litakuwa hewani na wale watumiaji wataweza kuchagua kutumia mfumo wa zamani au mfumo mpya.

Kwa wale waliokuwa wanahitaji software hii toleo la biashara litatoka hivi karibuni bado kuna masuala machache ya kuifundi, kisheria na kiusalama yanafanyiwa kazi. Pindi yatakapo kamilika mauzo yataanza kufanyika mara moja. Na taarifa utazipata kupitia thread hii au kupitia Nyasiro Software | Tanzania Software Center.

Kama kuna maoni zaidi tafadhali usisite kuandika kupitia nyasiro AT gmail DOT com au simu 0757449054

ninachomaanisha pale kwenye cell/column ya somo niwe naweza kuchange to grade kama nilingiza namba. E.g. Kama nimeweka 92 nikichagua option ya kuchange isiniwekee 92 tena ila A. Hiyo feature nivizuri ikawepo hata kama sec. Wanapenda kutoa matokeo kwa number/maksi ili anayetaka aitumie

Toka jana nilikuwa nafanyia kazi huu mfumo mpya wa BRN ambao umekamilika na kutakuwa na option ya kuswitch kati ya mfumo wa zamani au mpya. Hicho kipengele nacho ntakifanyia kazi kesho na mengine mengi sana. Mwaka huu ma-academic hawapata tabu tena.

Nafurahi SANA siku zote nikiwaona Vijana kama nyie
Kazi kwa kwenda mbele ndugu yangu lazima tukaze buti.
 
Kazi njema. Kazi njema sana. Apo kwenye requirements umeweka windows installer, manake haiwezi kurun in other systems?
 
Ndugu Nyasiro Kamusi yako ya ESE nitaipata wapi *.apk/andrioid version yake. nimecheck playstore sikuweza kuipata.
 
Last edited by a moderator:
Kazi njema. Kazi njema sana. Apo kwenye requirements umeweka windows installer, manake haiwezi kurun in other systems?

Ndiyo ISO M.CodD hii ni kwa ajili ya Windows pekee

Ndugu Nyasiro Kamusi yako ya ESE nitaipata wapi *.apk/andrioid version yake. nimecheck playstore sikuweza kuipata.

Bado hata sijaanza kuifanyia kazi mobile version, asante kwa kuwa interested...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom