Control Engineer
Member
- Sep 17, 2018
- 41
- 49
Season 3 episode ya 9 muendelezo wakeHivi kwani hii iliishia s2 au ,maana niliiangalia kitambo kweli aisee
Hii ni Mpya au ?? Kama Mpya imetoka link??
Sijakuelewa yani imetoka episode 9 tu ama??
Dah The witch kapigwa bisu,The Master kazibitiwa na Bagie kapigwa Bisu na Queen karudi je hivi yule Jamaa hakufa au Mbona sijaelewa hapa dah!https:// www.seedr.cc/zip/55494785?st=c47ec62df230b0d0baf9ae65d3b796e5b85b1bd2224122d54682fc5db6345bec&e=1554843205
into the badlands s03 e12
yule sio QueenDah The witch kapigwa bisu,The Master kazibitiwa na Bagie kapigwa Bisu na Queen karudi je hivi yule Jamaa hakufa au Mbona sijaelewa hapa dah!
Nani yule mkuu?yule sio Queen
Je ni nani yule? Na vipi sunny hivi ni nani atamfungua nguvu zake maana naona hakuna wa kumgusa Pelegrin kwa sasa na anazidi kuitengeneza ngome yake
Je ni nani yule? Na vipi sunny hivi ni nani atamfungua nguvu zake maana naona hakuna wa kumgusa Pelegrin kwa sasa na anazidi kuitengeneza ngome yake
Nimekusoma mkuu acha j3 hii tuoneBagie naona ni kama hajafa coz ana zile super power na kama ulivyoona kwa Witch na Master jinsi walivyokuwa wanajaribu kujitibu majeraha yao....Sunny anaweza kupata nguvu zake kupitia mtoto wake kwa kuwa Pegrin anaonekana kuzidiwa na matumizi ya nguvu zaje kwa kuwa hakuzaliwa nazo na alimuhitaji Sunny na mwanae kuzipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Mkuu hizo nguvu atazipata vipi kwa mwanae while jamaa alishabeba zote kutoka kwa yule mtoto.Bagie naona ni kama hajafa coz ana zile super power na kama ulivyoona kwa Witch na Master jinsi walivyokuwa wanajaribu kujitibu majeraha yao....Sunny anaweza kupata nguvu zake kupitia mtoto wake kwa kuwa Pegrin anaonekana kuzidiwa na matumizi ya nguvu zaje kwa kuwa hakuzaliwa nazo na alimuhitaji Sunny na mwanae kuzipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule jamaa kama uliangalia vzr ep hiyo ya 12,ule muda wakati yule witch anaongea na akina Bajie na Sunny kabla ya kuvamiwa na hao black Lotus, alimtaja jina sema nimelisahau tu na bahti mbaya nimeshaifuta ila alimtaja kwamba alifanya kosa hakumshughulikia enzi hizo.Je ni nani yule? Na vipi sunny hivi ni nani atamfungua nguvu zake maana naona hakuna wa kumgusa Pelegrin kwa sasa na anazidi kuitengeneza ngome yake