Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,883
Mkurugenzi wa sheria wa CHADEMA Peter Kibatala anaeleza...
1. Wakili Faraji Mangula Faraji Mangula amezunguka some Police Stations in Dar and jibu alilopewa ni kwamba Roma hayupo. Leo ataendelea tena. Thank U Faraji in the name of freedom.
2. Jana Wabunge wa CHADEMA wamemuuliza Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusu Roma na ahadi ni majibu kutolewa. Wabunge watasimamia hili mpaka mwisho. Mbunge Tundu Lissu na Waziri kivuli wa Mambo ya ndani, Godbless Lema, watawekeza nguvu zote.
3. Rais wa TLS, Tundu Antipas Mughwai Lissu, analishughulikia kwa upande wa TLS na tunategemea tamko la Baraza la Uongozi TLS; b'se mtu kuchukuliwa kiholela namna hii ni kinyume na rule of law na kinyume na haki ya mtu kulindwa usalama wake. Rais Tundu Lissu amenihakikishia leading role ya TLS kwenye hili.
4. Mawakili watapeleka maombi ya Harbeas Corpus Mahakamani Monday 10th April dhidi ya IGP, DCI, Waziri wa Mambo ya Ndani na chombo chochote cha usalama ili kama Roma anashikiliwa; apelekwe court per law, au aachiwe. Tutampigania Roma kisheria kwa nguvu zetu zote ili kama anashikiliwa, aachiwe. Kama hashikiliwi; tuone juhudi za wazi na zinazoeleweka kumtafuta mpaka apatikane. Bahati mbaya leo Mahakama hazifanyi kazi; tungeshakuwa huko.
5. Tunataraji viongozi wetu wa kidini wakiongozwa na Rev Dr Josephat Gwajima watatusaidia kupaza sauti bila kuchoka ili Roma apatikane. Kila mmoja kwa nafasi yake ashiriki kwa nafasi yake mpaka Roma Mkatoliki apatikane. Tuendelee pia kuusikilza wimbo wake kama a sign of spiritual solidarity.
Pia Soma: Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara
Viva Roma Viva.