Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Pepa zenyewe wanasahihisha basi..
Haiwezekani wote. Kuna vilaza mleMungu awatangulie wote mpate kazi
Share tangazo
Mbona umekata tamaa mapema mkuuIla ile paper niliona ngumu hata sitegemei sana kuitwa[emoji848] mtakaoitwa Mungu awasaidie[emoji120]
Mkuu najua nilivoboronga kwenye hiyo paper😀 labda utokee muujiza😜Mbona umekata tamaa mapema mkuu
Majibu ya aptitude tutegemee baada ya msiba kuisha? Au ndio kuingia kazini kimyakimya