Hapana mkuu jobless ni wengi Sana aiisee kuliko unavyofikiliawanao fanya watu waonekane wengi ipo ivi
kuna watu wapo sehemu wanakazi zao ila waliomba na kuitwa ili kubadili kazi au maslai
so ingekuwa wanaenda craduate tu ingekuwa gud
mi nimewachia wadogo zangu ila zikitangazwa kubwa za serekali tutaelewana
mbona nipo job na m=nimeitwa ukoHapana mkuu jobless ni wengi Sana aiisee kuliko unavyofikilia
Sasa ni wewe na siyo wote wako job🤣🤣mbona nipo job na m=nimeitwa uko
kazi ni niniSasa ni wewe na siyo wote wako job🤣🤣
kazi ni nini
ni kitu chochote kinachompatia mtuu kipato halali
yesBasi hamna ambaye hana kazi Kila mtu anakazi tofauti ni vipato tuu na position basi
Maswali ya mathe yapo mangapi? Nijue kama nije au nisijeWakuu wa kesho saa 5-6 mpoo?
Hata kwa hii definition yako,Tafiti zinaonyesha tatizo la ajira kwa graduates ni kubwa sana.In another way round-Binafsi naamin majority waliopo kwenye hz interview ni wasio na ajira.kazi ni nini
ni kitu chochote kinachompatia mtuu kipato halali
Kaka kwahiyo mwizi naye ana kazi?kazi ni nini
ni kitu chochote kinachompatia mtuu kipato halali
Umejua kutia moyoassume wameitwa 800
walio enda 700
waliofeli kutokana na vyeti na vitu vingine 100
walio ogopa kuja kutokana na wingi wa watu 200
watakao feli 400
watakao ingia oral 200
nafasi zilixopo 58
jamani mliopo huko msiogope
your 100% responsible of your life
ukikata tama ni wewe not us
Dondoo za maswali mzeeUnataka nn kwani?
Kila mtu ana wakati wake na riziki yake all in all ni lazima hao 58 wapate kazi kwa kuwa zipo, unazipataje kwanza weka nia, weka maandalizi, omba Mungu wako mwisho zika kukata tamaa nenda ulingoni timiza 99% zako na hiyo 1% mwachie Mungu.Duh ebana ni watu nyomi kinyama🙌🏿
Hii si kutiana pressure ni kweli
Sio wengi wa kutisha saana. Ila ukizidisha kwa zile awamu watakuwa nyomi.
Nilienda mkuu si kwa wingi ule aisee! Interview yenyewe ilikua ngumu😬😬Ushafika
Mkuu tulikua wengi mno afu kulikua na interview ya asubuhi ambao tumepishana nao wanatoka sisi tukaingia saa 5-6 tumemaliza wakawa wanaingia wengine saa 8-9 . Yes huyo hapo ni mimi😀😀 bado kesho pia 🙌Sio wengi wa kutisha saana. Ila ukizidisha kwa zile awamu watakuwa nyomi.
Huyo dada anaepiga maombi hapo mbele au ndio financial services .
Vip maswali yalikuwaje ndugu