Kiranga mimi sihitaji kuwa sympathetic uko free kunieleza ujuavyo wala si lazima mawazo yetu yafanane.
Sababu ya kukupa hadi saa 5 ni kuwa hata ukipewa muda wa masaa mawili unaweza usipate jibu la swali hilo sembuse ndani ya chumba cha mtihani under pressure.
Hili swali sio la kutafuta average ndugu yangu kama ingekuwa hivyo ningemaliza test kwa dk 20 tu.Swali hili ni la kutafuta average ya 30, 40 na 60. Hata simultaneous equation nililipandisha.
Either that or limekosewa kuulizwa hapa.
C akishawasaidia A na B kwa masaa matatu, yakiishabhayo masaa matatu anafanya nini? Anaendelea kuwasaidia kwa masaa matagu mengine au anapumzika? Kwa muda gani?
Kiranga kwa nini uandikie mate fanya hilo swali nakupa masaa mawili hadi saa 5 utupe jibu.
Ullivyofanya ndivyo sivyo kumbuka C anawasaidia A na B kila baada ya masaa matatu kwa muda wa saa 3 kila wakati.
Swali hili unatakiwa kutumia formula nyingi sana sio simultaneous equation tu kuna sequence & series ndani, kuna ratio ndani kuna KDS ndani kuna hours conversion ndani kuna mambo ya percentage ndani, yote hayo uyafanye ndani ya dk 1.
Hili swali sio la kutafuta average ndugu yangu kama ingekuwa hivyo ningemaliza test kwa dk 20 tu.
Umeambiwa anawasaidia kila baada ya masaa matatu huioni hiyo interval?
Watu mnachonga sana na kumponda Mleta Uzi,
kawapa swali mfanye mnachemka, pigeni swali hilo, wacha saundi!!
Now you are coming......Nishakujibu mbona? Unanisoma?
Swali lako lilivyoulizwa kwanza lina mapungufu, halijibiki kwa sababu halina taarifa za kutosha kujibika.
Now you are coming......
Umeshaanza kuona tatizo na hapa huna pressure yeyote imagine aliye ndani ya chumba cha mtihani.
Sasa nikuambie swali halijakosewa wala halina mapungufu na linafanyika, ila hoja yangu toka mwanzo huwezi kufanya swali kama hilo ndani ya dk 1.
Halafu cha kushangaza zaidi::
Mimi huwa nashindwa kuelewa nimeona watu wana vitambulisho vya Standard chartered, Crdb, NBC, na makampuni makubwa makubwa nao wame apply kazi. Sasa hivi ni tamaa ya kutaka kufanya kazi Nssf au? Mtu unafanya kazi unalipwa vizuri mfano " standard chartered wanalipwa si pungufu ya laki nane take home" yanini kuja kutuzibia nafasi tusio na ajira kabisa?
Huu ni ulimbukeni na tamaa tu!!
I hate those who came from reputable companies like standard chartered, crdb, to apply for our position..
real inauma sana....wadau.

hahaha mleta mada ni kilaza sijapata kuona
Watu mnachonga sana na kumponda Mleta Uzi,
kawapa swali mfanye mnachemka, pigeni swali hilo, wacha saundi!!
Umengangania kwenye hili swali, umepoteza dakika nyingi sana hapa, kama uliwezi unaruka unaenda kwenye jingine.Hili swali sio la kutafuta average ndugu yangu kama ingekuwa hivyo ningemaliza test kwa dk 20 tu.
Umeambiwa anawasaidia kila baada ya masaa matatu huioni hiyo interval?
Hapo wala hamna tatizo..muda unatosha sana. Dakika 15 soma maswali yote..Dakika 10 chagua maswali rahisi.. baada ya hapo anza kujibu kwa spidi..pumzika dakik 5 endelea kujibu..dk 5 nyingine proof read
Umengangania kwenye hili swali, umepoteza dakika nyingi sana hapa, kama uliwezi unaruka unaenda kwenye jingine.
Mimi hilo swali sijalielewa, labda nahisi wewe umeandika vibaya au mimi sijui au nitatumia mda mwingi kulifanya kwa hiyo naliruka naenda jingine (time management na prioritization). I hope you have understood
Matusi ya nini sasa. Jitathimini kwa nini umemtukana. Ukienda kitandani kulala jiulize kwa nini umemtukana. Muulize Mungu wako au shetani wako, whatever the case
Utaruka mangapi? hili swali si kwamba limekosewa ila linahitaji muda kufikiri ndipo inapokuja hoja yangu kuwa huwezi kulifanya kwa dk 1.Umengangania kwenye hili swali, umepoteza dakika nyingi sana hapa, kama uliwezi unaruka unaenda kwenye jingine.
Mimi hilo swali sijalielewa, labda nahisi wewe umeandika vibaya au mimi sijui au nitatumia mda mwingi kulifanya kwa hiyo naliruka naenda jingine (time management na prioritization). I hope you have understood
Sasa kama hata wao wanajua huwezi kumaliza maswali yote wameyaleta ya nini,
mimi nafikiri kama ukitaka kumpima mtu vizuri mpe muda wa kutosha, msikilize ili ujue pumba zake.