WanaotukAna na kumdharau mleta maada ni kwasababu tu mna kazi na mnaleta dharau kwa wasiokua na kazi ni bora mngemshauri na sio kuropoka.. M.a.t.a.ko yenu kima na mbwa wote waliomtukana mleta mada kama hamjaolewa fanyeni mkaolewe k.enge maji nyie
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mkuu Kiranga swali kama hilo hapo chini unaweza kulifanya kwa dakika moja?, na kama unavyosema ukiona swali gumu liache utaacha mangapi kwa sababu kila linalofuata ni afadhali lililopita.Maswali gani ya math?
Wanakuuliza kuhusu a non Perelman solution to Poincare's Conjecture?
Kama lengo ni kuangalia speed but not reasoning capacity watakuwa wamefanikiwa kupata ma PS personal secretaries(short hand) na kuaacha candidate wazuri wenye uwezo wa kufikiri.Kampuni ina wafanyakazi watatu A, B, na C kila mmoja anaweza kumaliza kazi kwa masaa 30, 40, 60 respectively. Ikiwa C ataamua kuwasaidia A na B kila baada ya masaa matatu kwa masaa matatu kila wakati, kazi hiyo kwa pamoja wataimaliza kwa masaa mangapi.
mkuu, kwavile C anatoa msaada kila baada ya 3hrs kwa muda wa 3hrs, then katika 6hrs, kiwango cha kazi kitachokamilika ni 1/30*6+1/40*6+1/60*3=2/5. Kwahiyo, 4/5 ya kazi itakamilika in 6+6=12hrs.A na B ktk 3hrs wanakamilisha 7/40 ya kazi(inakua imebakia 1/40 kukamilisha kazi). A,B na C (C akianza kusaidia) wanakamilisha 9/40 ya kazi ktk 3hrs kwa pamoja , kwahiyo, 1/40 ya kazi iliyobakia itakamilika ktk 3*1/40*40/9= 20minutes. Jumla ya masaa ni 6+6+3+20mints=15hrs20mints. Swali linajibika ndani ya dakika moja.
Mkuu Kiranga swali kama hilo hapo chini unaweza kulifanya kwa dakika moja?, na kama unavyosema ukiona swali gumu liache utaacha mangapi kwa sababu kila linalofuata ni afadhali lililopita.
Kama lengo ni kuangalia speed but not reasoning capacity watakuwa wamefanikiwa kupata ma PS personal secretaries(short hand) na kuaacha candidate wazuri wenye uwezo wa kufikiri.
Nimeipenda saana ile test, ukifaulu pale ni akili yako bana, yaani wale jamaa wanasimamia hakuna hata nafasi ya kuongea na mtu, atakayepita pale ndo alikuwa anastaili kupata kazi, IFM wanasimamia balaaa, duuuh
Kiranga kwa nini uandikie mate fanya hilo swali nakupa masaa mawili hadi saa 5 utupe jibu.Sasa hiyo si simultaneous equation ya form one, au unataka mpaka uandaliwe iwekwe kwenye simultaneous equation form?
Alternatively unaweza kuisolve kwa kuangalia tu 30A = 40 B =60C.
Hapo ndipo unapotakiwa kujua swali lipi linatumia muda zaidi ya inavyopaswa. Ukifanya nusu na kupata 90% sawa kitakachoqngaliwa ni 90% yako kuliko aliyefanya yote na kupata 10% sawa.
WanaotukAna na kumdharau mleta maada ni kwasababu tu mna kazi na mnaleta dharau kwa wasiokua na kazi ni bora mngemshauri na sio kuropoka.. M.a.t.a.ko yenu kima na mbwa wote waliomtukana mleta mada kama hamjaolewa fanyeni mkaolewe k.enge maji nyie
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kiranga kwa nini uandikie mate fanya hilo swali nakupa masaa mawili hadi saa 5 utupe jibu.
Ullivyofanya ndivyo sivyo kumbuka C anawasaidia A na B kila baada ya masaa matatu kwa muda wa saa 3 kila wakati.
Easy fit,
Aptitude test mara nyingi swali moja ni one to 1.5 minutes. Ni standard, jaribu ku Google unaweza ukapata za bure ufanye mazoezi zitakuongezea speed.
Strategy - unasoma swali kama unalijua unajibu haraka unaenda kwenye jingine, kama ulijui unaruka unaenda kwenye jingine. The idea is to answer as many questions as you possibly can. Kumaliza maswali yote ni vigumu, cha msingi maswali utakayojibu yawe sahihi.
Kila interview inakufundisha kitu, na inakufanya uwe bora next time round. Sasa ni wakati wa wewe kuweka jitihada na kujifunza aptitude test ili ikitokea sehemu nyingine you are comfortable.
We we Bonge la kilaza unapenda mterermko sana hiyo ndiyo soko la ajira tz ;;;; nenda rz1 akupe Viti maalum huko hakuna interview;;; utalalamika sana"""" au div 5Kwa kweli unatakiwa kuwa na supersonic speed ya ubongo sehemu ya kufikiri ili uweze kumaliza aptitude test hiyo vinginevyo lazima uwe umeyaona maswali kabla.
Nilikuwa mmoja wa waliobahatika kuitwa kwenye written interview ya Operations Officer, interview iliyofanyika leo IFM.
Lakini moja ya maajabu niliyokutana nayo ni kupewa maswali 100 yanayotakiwa kujibiwa ndani ya dakika 135.
Kwa maana hiyo ili kupata alama zote(100%) inatakiwa kila swali lijibiwe sahihi ndani ya dakika 1 na sekunde 21 tu. Sijui waandaaji wa hayo maswali walitumia kigezo gani kupima kiasi kwamba mtahiniwa anaweza kupata muda wa kusoma swali, kulielewa na kutoa uamuzi ndani ya hiyo dakika moja.
Kama huu sio usanii basi ni kukomoana.
Im afraid even if I was sympathetic to your plight , you wouldn't discern.
Unanipa masaa mawili hadi saa tano saa tano za wapi na watu tupo mtandaoni hapa?
Huyu mleta mada ni kilaza sijapata kuona...anatia huruma
Kiranga mimi sihitaji kuwa sympathetic uko free kunieleza ujuavyo wala si lazima mawazo yetu yafanane.Im afraid even if I was sympathetic to your plight , you wouldn't discern.
Unanipa masaa mawili hadi saa tano saa tano za wapi na watu tupo mtandaoni hapa?