Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Kuna jamaa alniambia kuhusu hii kitu..... Sikumwelewa..... Alsema hawana panel wala nn.... Wao ni ka mashine tu... Nikamuuliza source ya umeme inatoka wapi...akashindwa kunijibu......
Any way.... Kwangu mm nkiwa na hiyo ni hasara .... Kwan nkinunua panel ya watts 100 batri na invertor... Haizid lk6 na hapo natumia for life.... Haina masharti...
 
...Ladyfocus, hebu tufafanulie vizuri hapo, bill yao kubwa inatokana na nini? ninavyojua ni kuwa wanauza kifaa chao shs 300,000/- ila unatoa sh 60,000/- wanakupa kifaa unaanza kutumia na baada ya siku 14 unatakiwa kulipa sh alfu moja moja kila shu kwa miezi 9 kama sikosei, hadi utakapomaliza deni la laki 240 lililobaki ambalo pia kama una uwezo unaweza kulimaliza lote kwa mara moja na ukabaki na kifaa chako, wewe na jua tu! Unaposema bill yake ni kubwa unamaanisha nini?
 

Una maana 100,000 x 240 (laki mia mbili na arobaini) au (240,000) laki 2 na elfu arobaini? Hope ni 240,000.
 
Hata Mwanza na Geita wapo kwa sasa wameanzisha huduma ya umeme mkubwa kidogo wa unauziwa na smart tv ya solar malipo kwa mwezi ni Tsh 30000 na installation ni 30000 pia tv zao na radio jumla ni 230000

Asante kwa kunielewesha,Wasiwasi mwingine ni kuhusu utendaji kazi wa vifaa vyao (solar) pia hii smart tv inakuwa naking'amzi?
 
Jamaa wako vzr hamna longolongo na cheap sn.nimewaona maeneo flan ya mkoa wa Kilimanjaro.go for it wala usiogope ni elfu 10 kwa mwezi
 
Hawa mpower hawaifikii kampuni ya mobisol tembelea www.plugintheworld.com, jamaa wako vizuri mitambo yao inadumu kwa mda mrefu sana. Pia wanatoa huduma after sales, mantanence services na gurantee ni miaka mitatu na ukilipa kwa miaka mitatu mtambo unakua wako. Namba zao ni 0768-984700
 
MPower- Offgrid...

Wanakufungia mtambo wa Shilingi za Kitanzania 10,000/= tu.

Kila taa moja inatozwa 100 kwa siku... Radio 200..

Kwahiyo ukiwa na taa 6 utalipa shilingi 600 kwa siku jumla 200 ya Radio ni 800...

Ni umeme ghali sana kuutumia. .
 
Jamaa wako vzr hamna longolongo na cheap sn.nimewaona maeneo flan ya mkoa wa Kilimanjaro.go for it wala usiogope ni elfu 10 kwa mwezi


10,000 ni kwa mtambo wa taa 3 plus kuchaji simu..


Taa 3 kwa bei hiyo kwa mwezi ni ghali sana.
 
Mkuu me nimemshangaa yule jamaa aliyesema ofice sijui ziko kwenye kontena sijui wap... Kumbe anakisiran chake anataka kutuletea hapa... Office zao haziko kama yy alivyokua anabwabwaja

ha ha ha! ndo watz tulivyo mm kuna mwanangu alpga ya online n interview ya kawaida ila jamaa wapo vzur hakuna kuchagua kaz kambi popote
 
hapana, wewe jaza fomu utaletewa online test then ukifaulu utakuainvited for interview no need ya kuattach letter wala cv
 
Hawa jamaa wana email au website kuna mtu anaweza kunipatia?
 
si mpower ni mkppa wao ni mawakala wa vodacom wana umeme wao wa solar power na wana machine zao za mkopa si mpower nadhani huyo mzee alimaanisha
hivyo
 
M Power ni kampuni inayotoa huduma ya umeme wa sola kwa maeneo ambayo bado hayajafikiwa na umeme wa tanesco kwa kiasi kikubwa!Ndo maana hata nyumba za mijini ambazo hazina umeme wanafunga mitambo yao!
Miezi si mingi sana tumewapokea mkoani tabora na vijiji vyake.Huku wamekuja na vifurushi vya aina mbili ambavyo ndio rafiki zaidi.Kifurushi cha kwanza Unalipia sh 12000 kama ghalama za kufungiwa mtambo wao ambao unakuwa una panel ndogo.taa tatu na kuchaji simu ya mkononi!Baada ya hapo kila mwezi unalipa sh 12000 kama ada ya matumizi ya huduma yao.Usipolipa inazima kabisaaaa....
Kifurushi cha pili unalipia sh 24000 kama ada ya kufungiwa mtambo na panel!taa zinazidi tatu unanunua tv yao na redio pia unaweza kuchaji simu zaidi ya moja!Kila mwezi utalipia sh 24000 kama ada ya matumizi kwa mwezi.usipolipa inaziiiima!!:
#NUITARUDI KWA FAIDA NA HASARA ZA MFUMO HUU#
 
Hao ni mobisol ndio wanakopesha mpower chombo kinabakia kuwa chao unalipa kama luku mobisol ni mkopo wa hizo equipment kwa kulipa polepole
 
In short mmpower ni expensive unless hauna choice hivyo ni cheaper kuliko kutumia mafuta ya taa

Mobisol inasaidia wale ambao hawana pesa ya moja kwa moja kununua mitambo yao (unakopeshwa na unalipa kidogo kidogo huku unatumia mpaka miaka mitatu) ingawa ilinunua solar zako direct ni cheaper ila initial investment ndio inakuwa kubwa
 
kwa mwenye feedback aliyeajiriwa na hii company wameishia wapi???.nmeapply leo online
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…