dumelakipare
Member
- Oct 3, 2015
- 5
- 1
Ukipita hapo kwa hyo first interview ya kupiga test kwenye individual na group ni vitu gani wanaangaliaNenda na pen na kikaratasi cha rough work ya hesabu maana hawatoi pale ull just be given a laptop u log in kwa email yako utapewa maelekezo afu mnaanza test
Kwa upande wa individual na group wanauliza maswali ganiMnapiga test nyingine sio ileile si session yetu tulikuwa 16 wakala vichwa 6 kama BSS tukabaki 10 tukaendelea na group zen individual interviews
Group participation yako na teamwork maana mnapewa challenges 8 mnatakiwa kupriotize 3
Wameniita kwa interview...nitarajie maswali gani wadau ?
Mnapiga test nyingine sio ileile si session yetu tulikuwa 16 wakala vichwa 6 kama BSS tukabaki 10 tukaendelea na group zen individual interviews
Malipo yakoje kaka, na mkiwa training mnalipwa?
Naambiwa hawahitaji CV, ila nikiingiza link inakuja kupitia zoom na inanitaka niapload CV...Msaada tafadhali
Kweli ni kwamba watu wengi wanao enda training huwa wana pagawa na jengo la m power... watu wana jisahau kua kuna maisha mapya utakayo yaanza ukisha pangiwa mkoa tofauti sasa huko ndio utakutana na na changamoto zakila namna... vijiji vyote ni vyako... kama wewe ni lele mama hii kazi itakua ngumu kwako.. haina ubishoo wala u sister duu, narudia tena utakutana na changamoto kibao.... kuna maisha tofauti sana ukisha toka training be prepared.... ni kampuni nzuri kwa wale wenye vyeo kama junior, seniors ,coordinators, team leaders na mameneja. Wengi wanao maliza training huwa ni Base ambao pay yao huwa ni kati ya 450 adi 500 take home..... wapo wanao fanya kazi mwezi wana aacha wapo wanao komaa mpaka kieleweke plan zao ni kua na wafanyakazi si chini ya 500 kufikia december.
Duuuuuuhhh ni hatar so kumbe even after training kuna mchujo!!??
Wameshajibu kwa waliofanikiwa kufanya interview check ur emails
Hawa M-POWER wanaleta uhuni sasa....gharama za ughaibuni nani atalipa....wamenitumia email lakini siwezi kwenda...bora nibaki town na kuendelea na kibarua changu ambacho ni cha uhakika kuliko ajira yao uchwara