interview landmark wiki hii sijui lolote msaada plz.

interview landmark wiki hii sijui lolote msaada plz.

hapo sas unanionea kwani wewe chuo umesoma kwa lugha ipi? Landmark ina hadhi gani? KIjiji, Mtaa, Mkoa, Hadhi kitaifa au kimataifa? Ukijua haya ndo utajua ujiandae kwa lugha ipi?

Jiulize Landmark wanafika wageni waaina gani local au foreign mkuu?

Na kujiamini na kile unachoongea na uwezo wa kujenga hoja ndugu hivi vitakusaidia.

Mfano imetokea mgeni alifanya booking ya chumba na hakuconfirm kuwa atalala. Then kile chumba kikauzwa kwa mtu mwingine baada ya kuuzwa yule mgeni akatokea na ni mteja mkubwa hapo Landmark na wakati huo manager hayupo hotelini wewe kama receptionist utafanyaje kutatua tatizo hili?
sidhani kama kuna mahali umewahi kufundishwa swali hili? Inategemea uwezo wako wa kujenga hoja na kuzitetea kwenye jambo kama hilio ndugu appoh

ok umenisaidia sana lugha ni ipi au ina depend
 
hotel iko mbali aisee ukiweza kufika ni interview tosha na sharti lilikua upelekee kwa mkono barua yako another fact ni hotel mpya inayomaliziwa kujengwa bado fernicha tu za ndani naona bora nitry
 
nimekua nikifanya kazi kampuni tofauti kama mbili lakini zote hizo nilikua nikipita bila interview sababu kuna wa2 walikua wananibeba si unajua tena nibebe nibebe nivukee salama.sasa kuna nafasi za kazi pale landmark hotel nimepeleka barua interview wik hii je wanaulizwa maswali gani kwa mwenye uzoefu post ni receiption

Muone Shafii, ukimpa elfu thelathini tu kwa mpesa au tigo pesa anakutumia maswali na majibu yoote
 
hotel iko mbali aisee ukiweza kufika ni interview tosha na sharti lilikua upelekee kwa mkono barua yako another fact ni hotel mpya inayomaliziwa kujengwa bado fernicha tu za ndani naona bora nitry

umeomba post gan na me nakuja kwa interview
 
Huhitaji kujiandaa kazi yenyewe ya kufungua vizibo
 
Google on Qs & As on job interviews for different desciplines!!
 
inamaana hiyo interview unaenda tuu hata kama hujjapigiwa simu au mpaka upigiwe simu nijuze tafadhali
 
Back
Top Bottom