Interview Exim Bank

Interview Exim Bank

it was not baad. nimepata kitu kipya. tumefika tukapewa magazeti.mikas glue marker pen na karatai. tukaambiwa tukate from a newspaper anything tubandike kwenye plain paper. then tuandike chochote kuhusiana na pcha.

after 25mins akaja akasema kila mtu apresent..

thats all for yday wamesema watatupigia within two weeks kama unaenda next step.

makubwa, vipi ushawahi kukutana hivi vitu kwenye interview za bank;
1. Absract reasoning test,
2.. Numerical reasoning test
3. Work related strength assessmnet
if yes, naomba examples jinsi hayo maswali yanavyoullizwa.
 
Aise na mimi nilikuwepo kwa interview kama tatiana pale eximbank,afadhali tatiana kapewa intro kidogo,mi sikujua hata positiön ninayoitiwa mana aliyenipigia hakuniambia,na sikupita jf kumbe ningepata kitu,duh mungu saidia.

Boniface sioni kama hili la kukupa sana wasi wasi.. Tokana na maelezo ya Tatiana, hii ni mpya na kali... Alafu honestly nimeipena. Inapima uwezo wako wa creativity, ufanisi wa kazi yako na uwezo wako wa kujieleza huku ikiangalia kina cha ufikiri wako. Hii interview kuchakachua kazi ipo. Kuna wengine ni wazuri sana wa interview sababu wanakuwa wamesoma tips zote za interview but ki utendaji tofauti..

Kikubwa tu kama mlifanya vema... Mungu awajaalie mpate hasa kama mna deserve.
 
AshaDii. RAJ PATEL JR etc the tips yesterday.

it was not baad. nimepata kitu kipya. tumefika tukapewa magazeti.mikas glue marker pen na karatai. tukaambiwa tukate from a newspaper anything tubandike kwenye plain paper. then tuandike chochote kuhusiana na pcha.

after 25mins akaja akasema kila mtu apresent..

thats all for yday wamesema watatupigia within two weeks kama unaenda next step.

Asante kwa feedback Tatiana... Vipi so far are you confident ulifanya vema? Are you comfortable enaf kukubali kuwa utakuwa umefanya vema ama tofauti na matarajio chanya?
 
dear AshaDii am confident i presented well maaans majority pia zao kwa mtazamo wsngu hazikua kivile.. so am waiting for next stage.
 
Last edited by a moderator:
Boniface sioni kama hili la kukupa sana wasi wasi.. Tokana na maelezo ya Tatiana, hii ni mpya na kali... Alafu honestly nimeipena. Inapima uwezo wako wa creativity, ufanisi wa kazi yako na uwezo wako wa kujieleza huku ikiangalia kina cha ufikiri wako. Hii interview kuchakachua kazi ipo. Kuna wengine ni wazuri sana wa interview sababu wanakuwa wamesoma tips zote za interview but ki utendaji tofauti..

Kikubwa tu kama mlifanya vema... Mungu awajaalie mpate hasa kama mna deserve.

nimewapenda wamefanya kitu kizuri sans kwakweli kuonyesha kuwa intavyu ina mambo.mengi tusikariri.
 
HQ iko pale posta, panel yao kuna jamaa mmoja ana suti nyeusi ana maswali balaa, kwa kifupi panel yao wako kama 8 na wote wanauliza maswali very technical
 
Back
Top Bottom