Mambo ndugu zangu,naomba kujua kama kuna waliopigiwa simu na genius consultancy kwa ajili ya interview kesho jumamosi,au kama kuna mtu alishafanyaga interview na hiyo agency tujue inakuwaje na wanapendeleaga nini kuhuliza especial katika Uhasibu
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums