bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,977
- Thread starter
- #21
Itapelekaje kama hakuna njia ya kufika huko?Umeona sasa !!Mi kampuni yangu itapeka makoti
Itapelekaje kama hakuna njia ya kufika huko?Umeona sasa !!Mi kampuni yangu itapeka makoti
Mkuu unichangie na mm nifikishe TZS 400m nauli ya kwenda Mars.Kama nauli yenyewe ndio hiyo tutakwenda wengi
Alikuwa anatukumbusha wale mapacha wa ktz waliokuja wakaongopea waandishi wa habari nao wakauvaa mkenge wakiongozwa na gerald hando.Mars?mbona mpaka sasa hivi hakuna binadamu aliefika huko zaidi ya robots?
Naisikia leo funguka .....
Hakijaua mkuu.hii habari ya mapacha hao ndio naisikia sasahv!!Alikuwa anatukumbusha wale mapacha wa ktz waliokuja wakaongopea waandishi wa habari nao wakauvaa mkenge wakiongozwa na gerald hando.
mwaka jana hawa majamaa chombk chao kimelipuka na kuua watu wakati wakikifanyia majaribio
Nimewakumbuka wale mapacha waliotaka kutuongopea wakidhani kila mtu hajishughulishi kufahamu mambo mbalimbali.
Mars?mbona mpaka sasa hivi hakuna binadamu aliefika huko zaidi ya robots?
Naisikia leo funguka .....
Kuwa mmoja kati yao anafanya NASA na ni kati ya binadamu wa kwanza kukanyaga sayari ya mars na mwingine ni daktari bingwa wa upasuaji wakawa wana demand kukutana na J.KWaliongopa nini?
Kiliua mkuu na nilifuatilia sana hii habari mpaka wakaunda jopo la kufanya uchunguzi wa nini kilipelekea chombo hicho kulipukaHakijaua mkuu.hii habari ya mapacha hao ndio naisikia sasahv!!
Kwa haraka haraka hiz missions za kwanza zitakua za kisayansi zaidi, kumbuka Dragon V2 capsule itakayotumika inabeba watu watatu hadi wanne kwa kawaida ingawa inaweza kubeba watu sita, Isitoshe habitat module yenyewe ya kuishi ni kama unavoiona apo, hairuhusu rundo la watu kujazana, na itachukua mda sana kudevelop dragon capsule kubwa zaidi na habitat module kubwa kama mji.kabla ya kuanzisha kitu lazima utakuwa na full details ili isije kuleta shida na mataifa mengine kumbuka kule pia wanaenda kuanzisha miji lazima wataweka uongozi, ni lazima wamepanga utaratibu utakuaje, pia kunauwezekano wa kwenda na kutorudi tena. so lazima kule wameandaa utaratibu wa kuingia na kutambulika kama nchi zingine zifanyavyo
Ningekua bilionea ningenunua hisa space x na sio simba.Ingawa wengine wanasema Mars Mission haiko realistic ila nina imani kubwa na hii kitu asee.Kwa haraka haraka hiz missions za kwanza zitakua za kisayansi zaidi, kumbuka Dragon V2 capsule itakayotumika inabeba watu watatu hadi wanne kwa kawaida ingawa inaweza kubeba watu sita, Isitoshe habitat module yenyewe ya kuishi ni kama unavoiona apo, hairuhusu rundo la watu kujazana, na itachukua mda sana kudevelop dragon capsule kubwa zaidi na habitat module kubwa kama mji.View attachment 464034 View attachment 464035
Kwa ufuatiliaji wangu wa mambo ya anga naona kupeleka watu Mars kwa sasa ni jambo dogo sana, kumekua hakuna uharaka kama ilivokua kwenda mwezini 1969 na Apollo 11, Issue inayoumiza kichwa ni Interstellar Travel, kwanza tupate taarifa ya nin kinaendelea huko pande za Alpha Centauri, Je kuna kiumbe chochote anayeishi pande izo? au hakuna?Ningekua bilionea ningenunua hisa space x na sio simba.Ingawa wengine wanasema Mars Mission haiko realistic ila nina imani kubwa na hii kitu asee.
Lengo lao ni kufanya Mars kama "space travel hub",safari nyingine kama za Europa Jupiter na kwingineko inakua rahisj kwenda kutokea Mars.
Kila kitu kiko wazi ila naona kuna skeptics wanapinga wanasema impossible kutua Mars.
Kuna safari ya Mars na colonization of Mars.Safari ya Mars ni hatua muhimu katika kujua hayo yote na hatimaye kuitawala Mars.Kwa ufuatiliaji wangu wa mambo ya anga naona kupeleka watu Mars kwa sasa ni jambo dogo sana, kumekua hakuna uharaka kama ilivokua kwenda mwezini 1969 na Apollo 11, Issue inayoumiza kichwa ni Interstellar Travel, kwanza tupate taarifa ya nin kinaendelea huko pande za Alpha Centauri, Je kuna kiumbe chochote anayeishi pande izo? au hakuna?
WataendaIli goma limewanyea wazungu uwezi kaa kwenye chombo miezi 6