Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 213
hapo...kweli vodacom NOUMerrrrrr...but wale wenzangu..duuu najiunga kwa sababu ya sms Basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vodacom ya ukweli ndio mtandao wangu.!
tigo ndo mambo yangu na ntakunywa sumu juu ya Tigo mimi jinsi ninavoipenda we acha tu
Mkuu tujuzane namna ya kujiunga na vodacom internet service. Natumia Simu aina ya Samsung Galaxy.Jamani sijawahi kutumia vodacom ila nimejaribu kwa mara ya kwanza leo na nimeingia kwenye hii ofa yao ya unlimited kwa sh 200 usiku, natoa ushuhuda kuwa kasi nliyokumbana nayo ni ya ajabu jamani sijawahi ona, napakua vitu kwa kasi ya moto sana
kujiunga pigeni *149*01# kisha chagua 1(wajanja night offer) ila mimi nimetest leo imegoma
Unataka ujue umpandishie dau ili awakandie vodacom?
bundle ya wiki ni kiasi gani?
kwa mwezi?
Jamani sijawahi kutumia vodacom ila nimejaribu kwa mara ya kwanza leo na nimeingia kwenye hii ofa yao ya unlimited kwa sh 200 usiku, natoa ushuhuda kuwa kasi nliyokumbana nayo ni ya ajabu jamani sijawahi ona, napakua vitu kwa kasi ya moto sana
ata mi nimetest imegoma muda ni saa ngapi asee
Hii internet kweli ilikua na speed ile juzi na mimi binafsi nilishusha 3GB kwa tsh. 200/= ila jana nimejiunga wameishapunguza speed na asaiv top speed napata 350kb per second. Sio mbaya kwa kiwango cha pesa nnachotoa so BIG UP vodacom.
Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
kwanza why ungoje mpaka usiku wa manane??mkishakua wengi spidi itapungua..kimsingi hamna ishu