Internet Service Kodi imeanza Pia

Internet Service Kodi imeanza Pia

Ben Mugashe,

Samahani kwa usumbufu na kutoka nje ya habari. Unaweza kuniwekea kwa uwazi zaidi hizi gharama zako za Dola $600 kwa 1mps ni kwa muda gani? Ni kama unaunga kwa mwezi bila limitations au ni kwa kiasi fulani cha Bytes.
Wale wa internet kwenye simu utaona hata bundle zimepanda...14.5% ni kubwa sana jamani...Elimu kwa mlipa kodi inahitajika sana na tuambiwe matumiza yake maana this is too much..1MBps tz ni $600 but nje uko ni chini ya $10, Sasa ukiweka na hii taxi 1MBps itakuwa kama $800 hivi tunaenda wapi?
 
Daah,Kwa kweli tuna safari ndefu sana nchi hii,hawa watu wanaongea upuuzi huu wanamaanisha au wanatania??hivi wana utu hawa??nimepandwa na ghazabu sana,ila sina jinsi..,
Kama umechukia nichape bakora basi au nisemee kwa baba yako slaa
 
hii thread itaenda na wengi sana, ombi langu tuendelee kuelimisha babu zetu na ndugu zetu leo ni 2013 hivyo 2015 ni mbali lakini siyo mbali kiivyo mwakani hakikisha kila serikali ya kijiji haiendi magamba bila kupingwa yanayotokea ni mipango ya Mungu na halika hata wale wapumbavu waliobaki mpaka kufika 2015 watakuwa wameijua ccm..
 
Ben Mugashe,

Samahani kwa usumbufu na kutoka nje ya habari. Unaweza kuniwekea kwa uwazi zaidi hizi gharama zako za Dola $600 kwa 1mps ni kwa muda gani? Ni kama unaunga kwa mwezi bila limitations au ni kwa kiasi fulani cha Bytes.

Mkuu hi kwa Mwezi, unlimited download according to my ISP
 
tunataka maendeleo vijijini kupitia kodi hii hakuna jingine zaidi ya hapo ni kuchelewesha maendeleo vijijini
 
Hapana gharama ni ndogo sana, ningependa serikali iongeze kodi maradufu ili Mazezeta yaweze kuamka na kujuwa Serikali huwa inakula kodi zetu, bado yapo majinga mengi hayajui kwamba yale mashangingi ya STK na STJ ni pesa zetu ambazo tunabanwa kwenye bidhaa mbalimbali,
Mkuu siku hizi kuna STL
 
Kama umechukia nichape bakora basi au nisemee kwa baba yako slaa

Malipo ni hapa hapa dunian,mola mlezi anashuhudia dhulma hizi,na kamwe hapitwi na jambo hata dogo kias gani kwa haya wanayofanyiwa walalahoi wa taifa hili,ila ipo siku itafika...
 
nchi hii kila kukicha watu wanalalamika, wanalaumu......sasa mnataka kodi alipe nani? kisha mnajifanya wazalendo.
Kamuulize hom shopping senta kama analipaga kodi,mwigulu amuwahi ili amtembeze kwenye kampeni zake maana atakuwa na vinyago viwili sasa atauza....masisiem majanga tu!!
 
Mkuu, hawa wanaochukiamni wale aliowasema waziri Mhongo kuwa wachukia maendeleo. Inabidi tuwamegee kipande cha kwao ili waishi na fikra zao hizo za kipuuzi

haswa kwa sababu kuwa na watu wanaopinga maendeleo ni uwenda wazimu tangu slaa awambie kupinga kila kitu amewaharibu kabisa kwani nyuma hawakuwa hivi lakini sasa ni kupinga hata kitu ni kizuri kiasi gani.
 
Malipo ni hapa hapa dunian,mola mlezi anashuhudia dhulma hizi,na kamwe hapitwi na jambo hata dogo kias gani kwa haya wanayofanyiwa walalahoi wa taifa hili,ila ipo siku itafika...

dhuruma nyingi anafanya slaa mpaka aliiba hela za watoto yatima akiwa padri wewe unajadili dhuruma gani.
 
"Upatikanaji wa Elimu na matibabu kwa njia ya mitandao yatakuwa rahisi sasa kutokana na kuwepo kwa Mkongo wa Taifa". Mwisho wa kunukuu!
 
wakuu, msidanganyike na hizo percentages. ukweli ni huu hapa chini kwa watumiaji wa mtandao wa vodacom

bundle_packages_7d156e6d99abc11d506c8b50241be849.jpg
 
dhuruma nyingi anafanya slaa mpaka aliiba hela za watoto yatima akiwa padri wewe unajadili dhuruma gani.


Unaniingiza kwenye viatu vya propaganda unadhani nipo hapa kujadili siasa au nipo hapa kujadili maovu ya wanasiasa hawa?especially hawa waliopo madarakani??
Hoja kuu unaipotosha kwa mgongo wa propaganda za slaa ili kiwe nini??kama mwanaume basi utakuwa si ridhki,kama mwanamke basi utakuwa umekosa bwana,si bure
 
mi nataka izidi kuongeza sana tu ili watu washtuke na kutoichagua tena ccm 2015.
 
mi nataka izidi kuongeza sana tu ili watu washtuke na kutoichagua tena ccm 2015.

dah we ndo uko nyuma sana. kodi ikizidi kuongezeka ina maana serikali itapata fedha nyingi ambazo itaiwezesha kulipa mishahara mizuri watumishi wake na kutekeleza miradi ya maendeleo bila ya hofu. pole sana na mawazo yako ya kibavicha
 
dhuruma nyingi anafanya slaa mpaka aliiba hela za watoto yatima akiwa padri wewe unajadili dhuruma gani.

umesahau alivokula 071.. Ya kwako akakudhulumu ajakupa hela siyo?
 
Unaniingiza kwenye viatu vya propaganda unadhani nipo hapa kujadili siasa au nipo hapa kujadili maovu ya wanasiasa hawa?especially hawa waliopo madarakani??
Hoja kuu unaipotosha kwa mgongo wa propaganda za slaa ili kiwe nini??kama mwanaume basi utakuwa si ridhki,kama mwanamke basi utakuwa umekosa bwana,si bure

hasira za nini mkuu. kama vipi hamia jukwaa la mipasho
 
Back
Top Bottom