King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
- Thread starter
- #21
mkuu GODFATHER ABIHUDI hao airtel nawapenda sana laikini nilihama kwasababu ya tatzo la internet..
jamaa wapo hovyo sana kwenye net,somtimes unaweza ukawepo katikati ya mji na 3g isiwepo..
UNAJUA KWANINI WATU WANAING'ANG'ANI VODACOM PAMOJA NA MAUDHI YAKE YOTE.?NI KWASABABU YA UBORA WA INTERNET YAO..
HAMIA VODA..
mbona nilijaribu, kwa moderm ndo njaa kabisa bora utumie simu atleast voda wanajitaid katika mawimbi ya edge ila uwez download kitu....