King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
wakuu naombeni msaada.. nimetoka katikati ya mji juzi baada ya nyumba yetu ya iliyo nje kidogo ya mji kuisha..sasa dah ninapata shida ambayo sijawi kuipata ninapotaka ku surf mambo yangu kwenye net, sababu hata simu yangu haijawai kusoma 3g hata siku moja kila siku ni E<Edge>, yan napata shida kiukweli ,hata kudownload vitu vya mb 2 ni kazi kwelikweli, natamani kurudi town ila ndo nyumbani ni nyumbani tena...sasa hakuna mautundu ya kufanya kupata internet ya maana.............heshima yenu wakuu.............