Sijajua line yako ina shida gan mzee. Mm yangu ipo poa tu. Au ni 3GSijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
Mara mkuuUpo mkoa gani
Ndio mkuuSijajua line yako ina shida gan mzee. Mm yangu ipo poa tu. Au ni 3GView attachment 1573984
Tafuta Mtandao wa 4g eneo lako kama upo, 4g hata ikishuka speed itadondokea mbps kadhaa bado utakuwa na speed nzuri.Ndio mkuu
8gbps ??Na mimi sahivi nipo Mara. Yaani ni kama vile waya wa internet ya halotel umekatika zimebaki nyuzi chache ndio zinashikilia. Awali 4G ilikuwa inafika mpaka 8gbps lakini sahivi hata kufungua jamiiforum ni kwa mbinde, kuangalia video YouTube hata 360p inakwama kwama dah!. Sijui tatizo nini?.
dadeki, umetishainafika mpaka 8gbps
Jamaa itakuwa anafanya kazi NASA na ndio wamletea broadband ya speed iyodadeki, umetisha
Hiyo speed hapana8gbps ??
Typing error. Mnakuwa kama hamjawahi kukosea. Namaanisha 8mbpsdadeki, umetisha
Nikajua ni mimi tu.Sijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
Mi niko Karatu siku kadhaa hapa..leo ilikata mtandao sipigi wala kupokea zaidi ya masaa 7..Halotel ni sifuri sanaSijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
Hiyo speed nawezashusha ma-firmware mpaka yanikome, yaani hapa nilipo nawaza kubundika tena leo maana kuna lisamsung linaniwangisha kichwa limekubali combination file lakini nikiliandikia firmware ya kawaida nikaliwasha tu linajirestart na linaedelea hivyo.8gbps ??
Tafuta Mtandao wa 4g eneo lako kama upo, 4g hata ikishuka speed itadondokea mbps kadhaa bado utakuwa na speed nzuri.
Na Halotel 4g inataka simu kali yenye MIMOx2 ili kuenjoy speed nzuri.
Hiyo speed nawezashusha ma-firmware mpaka yanikome, yaani hapa nilipo nawaza kubundika tena leo maana kuna lisamsung linaniwangisha kichwa limekubali combination file lakini nikiliandikia firmware ya kawaida nikaliwasha tu linajirestart na linaedelea hivyo.
Sent from my cupboard using mug
Ni kimeo hasaSijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.