INTER 2-0 AC MILAN....miracle

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,301
4,681
AC Milan waliutawala mpira kwa kipindi kirefu, huku wakigonga pasi na skills za ajabu...

Lakini mwisho wa mechi ''kunguru kanyea manati''...
Inter 2-0 Milan.

AC Milan bado wana nafasi kubwa ya kunyakuwa ubingwa wa scudetto ukizingatia still wana mechi moja mkononi na ndio kwanza duru la lala salama limeanza.

Forza Milan
 
Sahau kwa AC MILAN kuchukua ushindi kadri siku zinavyozidi kwenda na mechi kuchezwa na gap ndo linazidi kuonekana.
 
Tupo pamoja mkuu
 
Sahau kwa AC MILAN kuchukua ushindi kadri siku zinavyozidi kwenda na mechi kuchezwa na gap ndo linazidi kuonekana.

Swala la ubingwa kwa AC Milan ni kitu ambacho kiko wazi.

Wanachokifanya Inter ni kuzuia Jua kwa bakuli...kitu ambacho hakiwezekani.

so tulia hivyohivyo
 
AC Milan waliutawala mpira kwa kipindi kirefu, huku wakigonga pasi na skills za ajabu...

Lakini mwisho wa mechi ''kunguru kanyea manati''...
Inter 2-0 Milan.

AC Milan bado wana nafasi kubwa ya kunyakuwa ubingwa wa scudetto ukizingatia still wana mechi moja mkononi na ndio kwanza duru la lala salama limeanza.

Forza Milan
Waliutawala mpira upi? Binafsi naona walizidiwa saana licha ya kuwa jamaa walicheza wakiwa pungufu. Hawakufanya mashambulizi ya maana mengi! Naamini hawawezi kuwa mabingwa licha ya kuwa wanamajina makubwa mengi
 
Huo wa kwako sasa ndo ushabiki mahaba...
Hebu nikuulize swali, ni kipa yupi alikuwa na mishemishe golini mwake?
Au beki ya timu ipi ilikuwa busy?
 
Rossoneri bye bye scudetto.

Wakati ligi inaanza mkatabiri rossoneri kushuka daraja.
Walitoka nafasi ya 17 mpk nafasi ya pili huku wakimpa jambajamba mzee wa mipasho.
tulia sheikh...ile sio ligi ya Bongo.
Ile ni Italian serie A
 
Nezzazuri wanapaa mjomba, na the way things are at the moment wana GD 26 Rossoneri wana 14 na six point deficit zikiwa zimesalia duru 17. Hii ni unprecedented fifth back-to-back Scudetto kwa FC Internazionale Milan.
 
Milan tulikuwa tunashika nafasi ya kumi na 7, lakini mpk hv ninavyoandika tupo ktk nafasi ya pili nyuma ya ppointi tisa na tuna mchezo mmoja mkononi.

Nakukumbusha tu kuwa wahenga wanasema ''raha ya mbio kumalizia''

Forza milan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom