intention ya mwanaume ni nini?

intention ya mwanaume ni nini?

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
4,195
Reaction score
2,689
Mara kwa mara huwa najiuliza, mwanaume akiomba urafiki wa kawaida kwa mwanamke anakusudia nini? Maana wengi wao wanaishia kufall in love na kuumizana hisia zao ilihali ulirafiki ulioombwa ni wa kawaida. Haiwezekani kukawa na urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume forever? Hii inapelekea hata mwanamke akianzankuzoelewa na baadhi ya wanaume wanao mzunguka kwa japo salamu tu, anapata hisia mbaya kichwani mwake. Na kwanini ishindikane?.
 
hata mi najiuliza kwa nini ushindikane,urafiki wa mawnamke na mwanaume unakuwa na benefits nyingi hasa msipoweka mapenzi ,kwa maana ukishaingiiza mapenzi haudumu hata kidogo
 
kwani urafiki ni nini? Na ili muitwe marafiki hadi mzoeani kiwango gani?
 
hakuna urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume. Ni hakuna ever.
 
in the 0.01% chance kaka anaweza urafiki wa kawaida, mademu wengi hudharau kama kaka hautamtongoza japo kidogo hata kama yeye ndio aliyeomba urafiki. kaka unaonekana mshamba, pia wanaume akiwa ne demu lazima apate hisia so after a while ataomba muwe "more than friends". short answer: not realistically possible
 
Urafiki wa kawaida..

Ngoja nitafakari kwanza..

Ila kifupi ukiona huo urafiki wa kawaida unadumu kati ya he na she... Then elewa tu kuna mmoja wao viungo vyake vya uzazi havipo sawa...au wote.
 
Urafiki upo na unawezekanika sanaa tu! Mbona mimi marafiki wa brooo washikaji zangu sanaaa! Tena najua mambo yao kibaooo, urafiki wetu ni mkubwa kuliko wa brooo. The thing inayoleta utata ni hii MIZOMBIIII SUGU, wewe mtu badala ya ku apply for SEXUAL RELATIONS wanaomba FRIENDSHIP RELATIONS. Ila ushkaji upo baina ya baadhi yetu, na kila mtu ana mtu wake wanapendana nae. Sema wale wadhaifu ushikaji ukizidi ndo wanakuwa wanagonga MECHI ZA KIRAFIKI one time kisela!
 
Mara kwa mara huwa najiuliza, mwanaume akiomba urafiki wa kawaida kwa mwanamke anakusudia nini? Maana wengi wao wanaishia kufall in love na kuumizana hisia zao ilihali ulirafiki ulioombwa ni wa kawaida. Haiwezekani kukawa na urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume forever? Hii inapelekea hata mwanamke akianzankuzoelewa na baadhi ya wanaume wanao mzunguka kwa japo salamu tu, anapata hisia mbaya kichwani mwake. Na kwanini ishindikane?.

Kuwa marafiki tu wa kawaida.....kwa mwanaume kama mimi inaweza ikawezekana, ila najua patahitaji uvumilivu mkubwa sana kumaintain friendship, ila inategemea
 
kwanini ishindikane?

inashindikana kwa sababu pande mbili tofauti ziki kaa pamoja lazima zivutane.

Na mara nyingine mwanaume anaweza kuamua kuwa rafiki wa kawaida kwako lakini mazingira yaka mlazimisha kukutongoza, pengine ana kutongoza ili kujenga heshima badala ya kuhisi labda ana dharaulika na watu wanao jua urafiki wenu au mwenyewe na kwenye urafiki muda mwingine unamkuta msichana ana mzoea mvulana mapaka ana hisi ana nidharau
mfano nilisha shuhudia jamaa ana sifiwa na msichana mbele za watu hadi nikajua hizi ni dharau
"msichana alisema eti yeye anaweza kuvaa mbele ya rafiki yake wakiume na hasimfanye kitu kwani ana jua jamaa ana mhuheshimu sana." nikasema huyu jamaa lazima atafute njia yeyote umpata huyu mdada maana alioonekana kufedheeshwa na yale maneno.

Unajua urafiki muda mwingine kati ya msichana na mvulana una shindikana kutokana na tabia za baadhi ya wasichana,.

Muda mwingine urafiki una shindikana sababu kuwa zombie si mchezo.

Usiwe zombie-lara1
 
inategemea katika urafiki wenu mnafanyaje,na age range yenu.kama mmepishana mtaheshimiana lakini vinginevyo,hamna cha urafiki hapo,,,labda mapenzi au uadui.
 
These are two UNLIKELY SEX AND SEXUAL CHARGES mdada. Zinaweza kuchelewa tu kugusana lkn lazima zitagusana labda ziwe zimezaliwa kwa baba au mama mmoja na ziwe zinafahamiana hivyo.
 
Mara kwa mara huwa najiuliza, mwanaume akiomba urafiki wa kawaida kwa mwanamke anakusudia nini? Maana wengi wao wanaishia kufall in love na kuumizana hisia zao ilihali ulirafiki ulioombwa ni wa kawaida. Haiwezekani kukawa na urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume forever? Hii inapelekea hata mwanamke akianzankuzoelewa na baadhi ya wanaume wanao mzunguka kwa japo salamu tu, anapata hisia mbaya kichwani mwake. Na kwanini ishindikane?.
Inawezekana kabisa kuwa na rafiki mwenye jinsi ya tofauti na wewe na mkaishi bila kuishia kufanya ngono.

Kwanza mwatakiwa kujua maana ya urafiki ambao mnaingia kwani kama mnaombana urafiki huku mnatamaniana ni tatizo.

Pili muweke wazi mahusiano yenu,kama mna wapenzi na hao wapenzi wenu waelewe urafiki wenu ili kusiwe na shutuma na kuhisiana vibaya.

Mimi nina rafiki mwanamke na huu ni mwaka wa nne sasa tupo pamoja na tunasaidiana mambo mengi na haijawahi hata siku moja kuwaziana mambo ya kimapenzi.
 
Atamla tu hehehehe

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

Tena paka na panya wanaweza kucheza pamoja na kwa siku kadhaa lakini siku paka akahisi njaa basi panya hugeuka

kitoweo kwa urahisi zaidi maana kajisahau na kajiaminisha. Kwa mwanadamu ni zaidi ya paka na panya - Monotonous

relation paka ndiye anaedicide,
kwa mwanadamu yeyote anaweza kumshawishi mwenzie kwa maana yoyote wakafikia .......

Unlike charges attracts each other

she and he are are unlike forever will attract each other unless an abnormality exist
 
hata mi najiuliza kwa nini ushindikane,urafiki wa mawnamke na mwanaume unakuwa na benefits nyingi hasa msipoweka mapenzi ,kwa maana ukishaingiiza mapenzi haudumu hata kidogo
Niko na wewe hapo...nina marafiki wengi sana wakike ambao tuna heshimiana kama kaka na dada yake, na mara nyingi sana nikiwa nashida zangu mfano hospital...najikuta mara nimefikishwa kwa doctor bila kupiga camp, same thing nikienda bank mambo yanaenda chap chap napitishwa mlango wa nyuma :biggrin:
 
Back
Top Bottom