intention ya mwanaume ni nini?

A worthless man will
open your legs, An
intelligent man will open
... your mind, a handsome
man will open your
eyes, and a gentleman
will open your heart

sasa miguu iliyofunguliwa na a worthless-man inakuwa na thamani ipi?
 
ina maana kila anayeweza fungua moyo wa mwanamke ni gentleman??

Na ili mtu awe gentleman, hadi awe na sifa gani?

A worthless man will
open your legs, An
intelligent man will open
... your mind, a handsome
man will open your
eyes, and a gentleman
will open your heart
 
inawezekana mi ninao marafiki wa kike na tunaheshimiana vizuri tu... kama wote mkiwa waelewa japo kuna urafiki mwingine kama wa fisi kufuata mkono akiamini utakuja kudondoka tu..
 
Dah me nahsi cwez urafiki na girl kabisaaa ntamtamani halaf girls wana tabia ya kuchukulia vi2 easy xana,halaf mapenz ni mazoea hasa ya jinsia tofaut.
 
Da nameless
When am not arround the one I love,,I love the one who is arround.
Kwa hyo urafiki huo wa "kawaida" unategemea mazingira.
 
Urafiki wa kawaida wa mwanaume na mwanamke unawezekana na upo sana ila uwe umepatikana automatically na siyo mmoja kumshawishi mwingine eti tuwe marafiki wa kawaida! ikitokea hivyo ujue kuna hila ndani yake, yaani mtu anatengeneza mazingira ya kuwa karibu ili baadae iwe rahisi kuingia kwenye sehemu ya pili ya urafiki!
 
Kwanza mimi nini rafiki wengi kama serikali ya kikwete.manake huwa nahakikisha i never make enemies. Ila ukiongelea close friends, wapo wa kike pia. Na kuna rafiki wa kungea nae relationships ( kuna mmama 30+years older than me, we are best friends), kuna wa maendeleo fweza na investments, kuna wa movies novels etc, kuna wa shopping, kuna wa kusafiri. So kiufupi kila mtu ana potential yake, sitegemei kukuta kila kitu kwa kila mtu.
King'asti, haupendi marafiki wa kike?
 
Urafiki upo na unawezekanika sanaa tu! Mbona mimi marafiki wa brooo washikaji zangu sanaaa! Tena najua mambo yao kibaooo, urafiki wetu ni mkubwa kuliko wa brooo. The thing inayoleta utata ni hii MIZOMBIIII SUGU, wewe mtu badala ya ku apply for SEXUAL RELATIONS wanaomba FRIENDSHIP RELATIONS. Ila ushkaji upo baina ya baadhi yetu, na kila mtu ana mtu wake wanapendana nae. Sema wale wadhaifu ushikaji ukizidi ndo wanakuwa wanagonga MECHI ZA KIRAFIKI one time kisela!

Lara, mimi naomba iyo FRIENDSHIP RELATION.

Condition: Friends with benefits..
 
Inawezekana kabisa, mimi nina marafiki kibao wa kiume, nawaamin sana, tunashare a lot

Ni wa ukweli kuliko hata baadh ya marafki zangu wa kike,,,,
tena bas wengi wao ni vicheche mbaya, najua mambo yao mengi na ni washauri wazuri pia,
huwa naenjoy sana company yao....
 
Mara kwa mara huwa najiuliza, mwanaume akiomba urafiki wa kawaida kwa mwanamke anakusudia nini? Maana wengi wao wanaishia kufall in love na kuumizana hisia zao ilihali ulirafiki ulioombwa ni wa kawaida. Haiwezekani kukawa na urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume forever? Hii inapelekea hata mwanamke akianzankuzoelewa na baadhi ya wanaume wanao mzunguka kwa japo salamu tu, anapata hisia mbaya kichwani mwake. Na kwanini ishindikane?.

Urafiki wa kawaida upo ila tatizo lake ni;

Mwanaume kila siku anamtegea rafiki wa kike, siku akivua ch**i tu lazima amri ya sita ivunjwe.

Naweza kusema ni urafiki wa mashaka sana.
 
Urafiki upo na unawezekanika sanaa tu! Mbona mimi marafiki wa brooo washikaji zangu sanaaa! Tena najua mambo yao kibaooo, urafiki wetu ni mkubwa kuliko wa brooo. The thing inayoleta utata ni hii MIZOMBIIII SUGU, wewe mtu badala ya ku apply for SEXUAL RELATIONS wanaomba FRIENDSHIP RELATIONS. Ila ushkaji upo baina ya baadhi yetu, na kila mtu ana mtu wake wanapendana nae. Sema wale wadhaifu ushikaji ukizidi ndo wanakuwa wanagonga MECHI ZA KIRAFIKI one time kisela!
MECHI ZA KIRAFIKI one time kisela!
 
Back
Top Bottom