lakini pia kuna ukakasi sana juu ya kutumia Surrogate mother kwenye human cloning ambapo tunaona kuwa watu wanatak kutoa specie au clone yenye uelewa ule ule na mhusika ila wanampandikizia mother ( surrogate) na anakuja kedeliver product ile ile desired....Nimekupata mkuu usijali
Nilishindwa kutofautisha kati ya knowledge na intelligence
Unajua katika imani yetu ya kibudha tunaamini katika milango nane ya ufahamu So haijanipa tabu
Basi nitaiweka knowledge katika sehemu ya mlango wa Sita unaohusikana na ufahamu (mental)[emoji5]
Na intelligence nitaiweka kwenye sehemu ya mlango wa saba (Manas) the general [emoji5]
Halafu mambo yanaenda [emoji16][emoji16]
Ila mkuu nimeona juu umegusia kidogo kuhusiana hisi za mama mjamzito kwamba anapokuwa disponted na jambo fulani inaweza ikazuia uzalishaji wa hicho kichocheo cha CPH4
Ikiwa na maana kama Baba hajui kupetipeti inaweza kuleta shida_ si ndio...?[emoji53]
Je Huoni kwamba hii inaweza kuingilia utendaji wote na kumpa mama mamlaka ya ugawi wa ufahamu kuliko inavyohusika baba
Kiasi kwamba tunaweza kubadili defnition ya intelligence na kuipa maana ya tabasamu la mama ndio kuwa kila kitu [emoji3]...unaonaje hii.?
Ni kweli_unajua dunia ina mambo mengi sanalakini pia kuna ukakasi sana juu ya kutumia Surrogate mother kwenye human cloning ambapo tunaona kuwa watu wanatak kutoa specie au clone yenye uelewa ule ule na mhusika ila wanampandikizia mother ( surrogate) na anakuja kedeliver product ile ile desired....
sasa hapa najiuliza tena mchango wa mama unakosekana....ha ha ha hatari snaa...
ni kweli mkuu..huwa wana toa kiini( nucleus ) kisha wanapandikiza hiyo wanayoitaka...Ni kweli_unajua dunia ina mambo mengi sana
Kuna makala moja niliwahi kuipitia kitambo sana iliwahi kuzungumzia juu ya uzalishaji wa kiumbe pacha
Na ilisema huwa wanachukua yai la mama na kulitoa kiini chake na baadae kupandikiza kiini cha mhusika na kuendeleza ukuaji kwa wanayoyajua wao
Nilishindwa kuendelea kuisoma kwa kuwa sio mtaalamu sana wa biolojia
Lakini vipi inaweza kuwa sababu..?
Hivyo inamaanisha kwa wenzetu waliotangulia kama wanayajua haya _Tunaweza kuwa tunaishi na clone za majitu yaliojifea miaka mingi tu _lakini bado copy zao zinapeta duniani..!?[emoji33]ni kweli mkuu..huwa wana toa kiini( nucleus ) kisha wanapandikiza hiyo wanayoitaka...
nahisi kwa sababu wnaataka desired product ndo mana effects ya mama inakosekana kwa sababu ya kutolewa kiini tete...
mkuu..siyo kwamba et tunaweza kuwa tunaishi nayo ...ni hivi tunaishi na hao viumbe sana mpaka mtaani kwako wapo ila wew unawaona kama binadamu wa kawaida but its not...Hivyo inamaanisha kwa wenzetu waliotangulia kama wanayajua haya _Tunaweza kuwa tunaishi na clone za majitu yaliojifea miaka mingi tu _lakini bado copy zao zinapeta duniani..!?[emoji33]
Ebu mwagika kidogo hapa mkuu
Au uwezekano wa hivyo viumbe kukua ni mdogo.?
Duh nimestaajabu sio kwa maajabu ila hili sikuwah sikia.mkuu..siyo kwamba et tunaweza kuwa tunaishi nayo ...ni hivi tunaishi na hao viumbe sana mpaka mtaani kwako wapo ila wew unawaona kama binadamu wa kawaida but its not...
Human cloning ilipigwa marufuku kiaina siyo kuwa kufanyika kabisa...kilichopigwa marufuku ni utoaji wa taarifa kwenye jamii( sharing experimental results) ...
Baada ya hapo ndo ikaaanza kupigwa vizuri mpaka leo...
Genetic modified ambayo inatupa vyakula kama samaki,na kuku wa kizungu,ng'ombe pamoja na kondoo ni product ya cloning ...
Huko china,south korea na Singapore wamefikia sehemu wanazalisha samaki kwa kutumia cloned nuclei...
yani unanunua mbegu za samaki maabara kisha unaenda kumwaga kwenye bwawa lako kisha unatupia growth hormones bada ya mwezi mmoja unavuna samaki wako na hao samaki wana minofu tu hakuna mifupa mingi kama wa huku...ni nyama kwenda mbele...
Hiyo ni ndogo,kubwa zaidi ,maffin project ambayo inazalisha clone( human) wenye desired product unayotaka...
yani sasa hivi wanazalisha clone hata ambaye recipient alishakufa miaka ya 1980 huko...
Kuna siri pia ambayo inasemekana jamaa washatengeneza clone ya Albert Einstein pamoja na Nikola tesla ambazo zipo Massecheute Institute of Technology( hii inasemekena lakini) japo sijajua ukweli wake umekaaaja hapa...
Na wale jamaaa sasa hivi wanazalisha watu kisha kuwapandika watu wakiwemo politicians pamoaj na wataalamu kibao kwenye taasisi zetu huku bila sisi kujua ...
uzuri wa clone unaweza ukammodify kwa rangi au race unayoitaka ili kuepuka kushitukiwa kwenye interacting society..
Kuna baadhi ya nchi kama Angola,South Africa na Tunisia zimeingia mkataba na Maffin project kukopeshwa clones zinaziweka kuwasaidia hasa kwenye mambo ya utafiti na kuongoza watu kwa siri ...
Haya mambo ni mazito sana...yani mwisho wa siku utakuja kujuwa kuwa clones wamejaaa mtaani bila kuwajua...kuna baadhi ya documentaries zinavuja kuhusiana na watu maarufu kama kina Rick Ross ,Eminem ,P.Didy,Avril Lavigne,Katty Perry ,Taylor swift na wengine kibao kuhusisha clone zao kuwa ndo zinazoimba na kuratibu mambo yote huku baadhi yao kusemekana kuwa washakufa kitambo sana kwa kushindwa kusell their soul kwa mshirika wao mkubwa...wengine kutokana na umuhimu wao wanaamua kuwaua kisha wanatengeneza clone yao ambayo itakuwa ni mind controlled na wao ili iwe rahisi kuimba na kutoa maudhui yanayoendana na hizo jamiii za siri kuhusu namna wanavyotaka jamiii iishi ..
Juzi juzi tu tumeona skendo ya bwana mdogo Kodack black baada ya kukamatwa na kupelekwa gerezani lakini badae akatoleaa lakini inasemekana iliyotolewa ni clone yake na yeye wamemfungia huko chini wanakowatunza hao original recipient kwa kuwatengenezea mazingira ya kitajiri ambayo yana kila aina ya starehe kiasi kwamba kukumbuka huku duniani inakuwa ngumu snaa na hawawezi kurudi tena ...ndo inakuwa nitoleee...
..mambo mazito sana haya...usione kwanini underground cities zinajengwa ukafikiri watu wanaigiza ..hayo ni makao ya hao produced clone pamoja na recipient zao..
Kwa hiyo swala la Intelligence lipo another level of realm mkuu
so be careful with your leading system [emoji3] tusijekuwa tunaongozwa na clone zao make sio kwa scenario hizi...ha ha ha
AlooO..! Nakuelewa sana mkuumkuu..siyo kwamba et tunaweza kuwa tunaishi nayo ...ni hivi tunaishi na hao viumbe sana mpaka mtaani kwako wapo ila wew unawaona kama binadamu wa kawaida but its not...
Human cloning ilipigwa marufuku kiaina siyo kuwa kufanyika kabisa...kilichopigwa marufuku ni utoaji wa taarifa kwenye jamii( sharing experimental results) ...
Baada ya hapo ndo ikaaanza kupigwa vizuri mpaka leo...
Genetic modified ambayo inatupa vyakula kama samaki,na kuku wa kizungu,ng'ombe pamoja na kondoo ni product ya cloning ...
Huko china,south korea na Singapore wamefikia sehemu wanazalisha samaki kwa kutumia cloned nuclei...
yani unanunua mbegu za samaki maabara kisha unaenda kumwaga kwenye bwawa lako kisha unatupia growth hormones bada ya mwezi mmoja unavuna samaki wako na hao samaki wana minofu tu hakuna mifupa mingi kama wa huku...ni nyama kwenda mbele...
Hiyo ni ndogo,kubwa zaidi ,maffin project ambayo inazalisha clone( human) wenye desired product unayotaka...
yani sasa hivi wanazalisha clone hata ambaye recipient alishakufa miaka ya 1980 huko...
Kuna siri pia ambayo inasemekana jamaa washatengeneza clone ya Albert Einstein pamoja na Nikola tesla ambazo zipo Massecheute Institute of Technology( hii inasemekena lakini) japo sijajua ukweli wake umekaaaja hapa...
Na wale jamaaa sasa hivi wanazalisha watu kisha kuwapandika watu wakiwemo politicians pamoaj na wataalamu kibao kwenye taasisi zetu huku bila sisi kujua ...
uzuri wa clone unaweza ukammodify kwa rangi au race unayoitaka ili kuepuka kushitukiwa kwenye interacting society..
Kuna baadhi ya nchi kama Angola,South Africa na Tunisia zimeingia mkataba na Maffin project kukopeshwa clones zinaziweka kuwasaidia hasa kwenye mambo ya utafiti na kuongoza watu kwa siri ...
Haya mambo ni mazito sana...yani mwisho wa siku utakuja kujuwa kuwa clones wamejaaa mtaani bila kuwajua...kuna baadhi ya documentaries zinavuja kuhusiana na watu maarufu kama kina Rick Ross ,Eminem ,P.Didy,Avril Lavigne,Katty Perry ,Taylor swift na wengine kibao kuhusisha clone zao kuwa ndo zinazoimba na kuratibu mambo yote huku baadhi yao kusemekana kuwa washakufa kitambo sana kwa kushindwa kusell their soul kwa mshirika wao mkubwa...wengine kutokana na umuhimu wao wanaamua kuwaua kisha wanatengeneza clone yao ambayo itakuwa ni mind controlled na wao ili iwe rahisi kuimba na kutoa maudhui yanayoendana na hizo jamiii za siri kuhusu namna wanavyotaka jamiii iishi ..
Juzi juzi tu tumeona skendo ya bwana mdogo Kodack black baada ya kukamatwa na kupelekwa gerezani lakini badae akatoleaa lakini inasemekana iliyotolewa ni clone yaje yeye wamemfungia huko chini wanakowatunza hao original recipient...mambo mazito sana haya...
Kwa hiyo swala la Intelligence lipo another level of reakm mkuu
so be careful with your leading system [emoji3] tusijekuwa tunaongozwa na clone zao make sio kwa scenario hizi...ha ha ha
Rahisi sana mkuu...wanachohitaji hawa jamaaa ni cell moja tu ya mhusika...hata wakipata kipande cha unywele kwisha habari..atatengenezwa huyu mtu( clone)..Duh nimestaajabu sio kwa maajabu ila hili sikuwah sikia.
Sasa mkuu niulize swali langu labda sijaelewa vizuri.
Upandikizwaji huo kwa tafasiri hii ya clone,..
An organism or cells or group of organism or cells,produced asexually from one ancestors or stock to which they are genetically dentical...
hizo ancestors cells wanazipata vp?
Inachanganya.
mkuu unajua nini kila kiumbe kina Serum blood level ya growth hormones...AlooO..! Nakuelewa sana mkuu
Nilikua najiuliza inawezekana vipi kufanya cloning ya kiumbe halafu kwa haraka kifanane na cha awali kwa umri..!
Ila ulipogusia izo growth hormonis na utendaji wake bado sijaelewa kama ndio zinaspeed hiyo growth processing au kama wana namna nyingine wanayoitumia kwa aina ya binadamu....!?
We sio wa sayari hii...! [emoji32]mkuu unajua nini kila kiumbe kina Serum blood level ya growth hormones...
Manake nini kila mtu ana threshhold level ya growth hormones ambazo ndo zinabalance ukuaji wa mwili wako..
Sasa wanapotaka kutengeneza clone yako wanapima Adrenal Pituitary axis firing ratio ya growth hormone zako..
yani unaambiwa hivi kuna kipimo kikiingizwa kwenye ubongo wako kinatoa majibu ya kuwa umetumia quantity kiasi gani cha growth hormones tangu ulipozaliwa mpaka hapo ukipofikia kisha kile kile kiwango kinasubjectiwa kwa huyo developing clone embryo kwa growth rate ile ile na baada ya miezi kama 12 kinafikia level ile ile uliyopo wew na kwa hali hiyo inakuwa ngumu kumtofautisha clone au recipient...
noma mkuuu
ha haWe sio wa sayari hii...! [emoji32]
Vitu unavyo zungumza vinatengeneza logic fulani hivi
Unajua nini...ukiwa na akili ndogo na masikini utaona mambo ni mengi sana duniani...na yasiyowezekana
Ila kwa hawa wenzetu walaiotangulia na pesa wanazomiliki kupitia familia teule ni vitu simple sana
Watu wameshaisoma dunia yetu vizuri tu katika kila nyanja wanatuangalia tunavyoneng'eneka Tu..shenzi kabisa [emoji16][emoji16]
Kabisa mkuu...Unajua ukweli pia una kiwangoha ha
ha ha ha mkuu kanywe tu...ikibidi piga supu ya damu ya paka kabsaa[emoji4][emoji4][emoji4]just kidin..Kabisa mkuu...Unajua ukweli pia una kiwango
Ikitegemea na ufahamu wa mtu anayepokea taarifa
Ukweli nao ukimzidi mpokeaji wa taarifa unageuka uongo [emoji16]
We intellectual wa ukweli ngumu kukuelewa_ngoja na mimi nikanywe supu ya sisimizi labda nitaongeza mauwezo [emoji16][emoji16][emoji16]
Pamoja [emoji120][emoji120][emoji120]ha ha ha mkuu kanywe tu...ikibidi piga supu ya dawa ya paka kabsaa[emoji4][emoji4][emoji4]just kidin..
Mada hii ilikuwa inaenda safi murua kabisa lakini kuna ujuaji ushaingizwa humu, au ndo kusema unatutemea IQ content yako. Rahisisha mambo yaeleweke acha kutoa hard materials.lakini pia kuna ukakasi sana juu ya kutumia Surrogate mother kwenye human cloning ambapo tunaona kuwa watu wanatak kutoa specie au clone yenye uelewa ule ule na mhusika ila wanampandikizia mother ( surrogate) na anakuja kedeliver product ile ile desired....
sasa hapa najiuliza tena mchango wa mama unakosekana....ha ha ha hatari snaa...