murongo munene
Member
- Oct 25, 2017
- 92
- 81
Haya wajameni msaafu huo hapoTunachojadiliana ni hiki, "The Controller and Auditor-General shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only".
Kwa lugha ya sheria unapotumia neno shall inamaana huna uhuru zaidi ya kufanya unalotakiwa na kifungu husika iwapo vifungu vingine vyote vimezingatiwa.
Ni sawa na kusema CAG atadumu ofisini kwa miaka kumi kama vifungu vingine vitazingatiwa (mfano umri wa kustaafu haujafika).
Hakuna CAG Tanzania ambaye kipindi cha kwanza kilipoisha akachaguliwa mwingine. Hii ndiyo mara ya kwanza. Ni historia. Lakini haina maana kwa sababu kitu kimefanyika mara ya kwanza basi ni kosa ila inatuma ujumbe mkubwa juu ya uhuru wa CAG huyu wa sasa na wote wanaofuatia kama hili litakubalika.
Kwa hapa "kinachomfunga" Rais ni neno moja tu, shall. Hii inaweza kuwa sababu watangulizi wake hawakufanya kama alivyofanya yeye.
Ndiyo maana nimeuliza, kwa tafsiri yenu, ingetumika "may" au "shall" kwenu kusingekuwa na tofauti yoyote?
Hicho kifungu kipo kwenye sheria(kama niko sahihi)
Lakini hata hiyo miaka 5 atalazimika kumuongezea miaka mingine 5 kama hajafikisha miaka 60/65 kwa mujibu wa katiba..go look it up
Takwa ni miaka 60/65 au vipindi viwili periodMkuu nimekuelewa sana na hapa najifunza vitu.
Kustaafu, imeainishwa kabisa kwenye katiba kama sababu mojawapo ya CAG kuachia nafasi yake. Hii inamaana hata kama amekalia kiti mwaka, miaka miwili, mitatu au minne, umri wa kisheria wa kustaafu ukifika anaacha kiti.
Sasa hapa tunajadili hili la mihula miwili la miaka mitano mitano. Kwamba hawa wanasheria wasomi hivi hivi waamue tu kusema lazima amchague CAG miaka mingine mitano badala ya kusema kumi bila sababu yeyote ya msingi?
Eligibility si ni kama vigezo au kukidhi matakwa flani? Ambayo ndani ya miaka mitano yanapimwa?
Sio mwanasheria ila kwa ufaham wangu wa kawaida nilichoelewa hapa niThe Controller and Auditor-General shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only. This is what it says.
Legally speaking, Shall be eligible just means he/she must be reappointed again.
I absolutely and totally disagree.
Here’s why:
If shall be eligible means he/ she must be reappointed again, then the text would have read just that, that, the CAG shall/ must be reappointed to another 5 year term. Period, end of it.
But when the word ‘eligible’ is added, it changes the whole meaning of the text.
It gives the appointing authority leeway to choose whoever he/she pleases.
Now answer this: it is a must for the CAG to serve for 10 years, then why not just make 10 instead of 5 year term?
Takwa ni miaka 60/65 au vipindi viwili period
Usisikilize upuuzi wowote wa waoga wa audit ili waibe
Haja inakuwepo kwa sababu ya umri wa kuhudumu Ofisini.
Kumbuka umri ni mwisho miaka 65, endapo awamu ya kwanza inamalizika na katimiza umri huo hupaswa kustaafu. Kinyume chake, hupewa awamu ya pili kuhudumu.
Kakojoe ukalale hii mada imekupita ukubwa
Hatudiscuss mikataba ya bad boy na death row hapa
Go hit a club
Basi lugha ya katiba au sheria ni ya hovyo sana.
Kwanini unafikiri wameweka hiyo miaka mitano mitano?
Ndo mana huyu analazimisha kumtoa aweke wakevatakayemremote control
Huyo monkey anadhani yeye ni gorillaUtatutoa kwenye darasa bingwa, twende taratibu kistaarabu.
Ni kweli "shall" ni lazima upo sahihi kabisa. ILA WALAUMU WALIOWEKA/ONGEZEA NENO "ELIGIBILITY" HAO NDIO WALIHARIBU KILA KITU. So Ngabu yupo sahihi na Rais hajakosea. Eligibility maana yake if and only if environment favours you. Bahati mbaya katiba haijataja strong binding factors, ni hisia tu. "CAG is Entitled to FIXED FIVE YEARS, But only Eligible to reappointment". Hapa napo walitakiwa kumu-entitle so tusilaumianeSio anaweza,ni lazima
Neno shall sio ombi
Nafikiri ni akili ya chama kimoja kuendana na falsafa ya rais kukaa ikulu miaka mitano mitano
Akili yao ndogo iliwatuma kila rais aje na CAG wake wa kuficha uchafu wake
Nipe ibara kwenye katiba inayoongelea eligibilityNi kweli "shall" ni lazima upo sahihi kabisa. ILA WALAUMU WALIOWEKA/ONGEZEA NENO "ELIGIBILITY" HAO NDIO WALIHARIBU KILA KITU. So Ngabu yupo sahihi na Rais hajakosea. Eligibility maana yake if and only if environment favours you. Bahati mbaya katiba haijataja strong binding factors, ni hisia tu. "CAG is Entitled to FIXED FIVE YEARS, But only Eligible to reappointment". Hapa napo walitakiwa kumu-entitle so tusilaumiane
Katiba ipo clearTukiendelea na katiba ya nsmna hii hizi vurymai za katiba imevunjwa su haijavunjwa hazitaisha.
Utashi wa aliyeko madarakani utaamua hatma ya nchi.
Katiba ipo clear
Inavunjwa tu kusudi
Angemsimamisha kazi kabla ya miaka mitano au angemuongezea muda wa kukaa kwenye hiyo nafasi baada ya miaka kumi, hata usingehitaji kuniambia maana ya shall kisheria, ingekua wazi katiba imevunjwa, ila hadi sasa, sioni sehem katiba imevunjwa.
Kwa hiyo eligibility ni umri wa kustaafu?
Wewe uliyesema "Shall sio lazima asee, it's a strong intention", huwezi kuona katiba ikivunjwa hata ukionyeshwa.
It is painfully difficult to have an intelligent debate where facts and provisions are rubbed off as being irrelevant.
Mkuu kasome vizuri katiba. Hiyo ibara inasema atakua eligible kuteuliwa tena, yana atakua anafaa/ anavigezo/ anastahili. Lakini haisemi ni lazima ateuliwe.Katiba inaandika kuwa ni lazima aendelee kwa kipindi cha pili na baada ya hapo hataendelea tena na iwapo atafikisha miaka 60 ndani ya hicho kipindi atastaafu...Assad hajafikisha 60
Wewe uliyesema "Shall sio lazima asee, it's a strong intention", huwezi kuona katiba ikivunjwa hata ukionyeshwa.
It is painfully difficult to have an intelligent debate where facts and provisions are rubbed off as being irrelevant.