Tehe tehe tehe unaataka kujua wanaojua kutumia vikokotozi magazijuto sio .Ok safi ngoja watu wachangie kupasha akili.Ukipata za kina fourier Integral weka pia na sisi tushiriki.
Hata mimi nimekesha nimechoka kujua unachotaka,Waalimu wangu wote walifia ubaoni kwa ajili ya kunifundisha namba zinavyohusiana,lakini hapa imegonga.NAWE UKAFIE MBALI BASI
Kuna umuhimu wa kujua kupangua mahesabu ama sivyo ndio maana tunaibiwa dhahabu zetu tunabaki tunalalama; na sasa wamegundua Nickel huko Bariadi, tukizubaa tena wamajuu watachota tena baada ya jamaa kwenda kusaini mkataba ulaya!!
Nyani Ngabo my cousin is a private person he is a kind of a person who doesnt like to expose his inner stuff in public but i tell what yes he did graduate and he has a masters degree...
Cuzin i am sorry i have too....i am so proud of you!...smart and very humble...winkπ