INTARAHAMWE WA Prof.LIPUMBA

Kwa mtu anayeheshimika kuwa msomi , Prof Lipumba amejishushia hadhi mbele ya jamii.
Sina tatizo na yeye kutofautiana na CCM, tatizo langu nu kutoa ulinganishi, au analogy isiyo na msingi...
.

No, I think this is a most well-thought and necessary analogy, ili tusije rudia makosa ya Rwanda. Lipumba anapaswa kupongezwa. Niliwahi kuishi Rwanda, hakuna ubishi kwamba Itarahamwe walitumia sana makanisa (siyo misikiti) kujenga chuki, kitu wanavyokifanya sasa hivi akina Lukuvi & co.
 
Mipasho mipasho..toa hoja..mambo ya mvuto na nini hayahisiki kwenye katiba..ccm inawatu ambao mpo km mna akili za kuku
Kijani ndiyo mpango. Akitoka baba Riz1 lazima tuweke kijani nyingine ikulu, wapinzani nyie msahau, labda mpaka mtakapokuja na sera zenye mlengo wa maendeleo na si kuwachanganya wananchi mara eti ufisadi mara enheee!
 
Kijani ndiyo mpango. Akitoka baba Riz1 lazima tuweke kijani nyingine ikulu, wapinzani nyie msahau, labda mpaka mtakapokuja na sera zenye mrengo wa maendeleo na si kuwachanganya wananchi mara eti ufisadi mara enheee!
Ni mlengo si mrengo
 

hivi jina lako linatofauti na tabia yako? mwenzako aliitwa pisto na akaua mpenziwe
 

Mb.wa wewe. Kwani wewe ulikuwepo Rwanda na ukayashuhudia hayo unayoyabwabwaja? Au fedha ya bwana wenu Kagame ndo inayowapa hiyo jeuri?

Lumbana na wenzio mnaohara pamoja!
We si saizi yangu.


Watanzania hawajalogwa ila hawajapata chama tofauti na CCM ili wakiunge mkono.Vilivyoko havijajiandaa kutwaa madaraka bado wako kwenye migogoro isiyo na tija kwa kisingizio kuwa mchawi wao ni CCM.
CCM ni matapeli yaliyojipanga kiutapeli kwa lengo moja tu ya kuchukua madaraka na kulinda madudu yao.

Tuangalie tu mvutano ulioko ndani ya ccm inapofikia tamati kwa kumpata mgombea basi rais ndo ameshapatikana.
Tofauti na wapinzani wanaogopa upinzani wa ndani ya Chama.Mfano CHADEMA kilikua na nafasi kubwa na bado kina nafasi ya kufanya uchaguzi wa ndani utakaovuta hisia za watanzania wengi .Na atakayeibuka mshindi ndani ya Chama ndo akapeperusha bendera ndani ya chama.
 
Mb.wa wewe. Kwani wewe ulikuwepo Rwanda na ukayashuhudia hayo unayoyabwabwaja? Au fedha ya bwana wenu Kagame ndo inayowapa hiyo jeuri?

Na hicho ndo kinachofanyika bunge la katiba, wakibanwa kwa hoja wanaanza matusi na zomeazomea, watu wazima hao!!
 
Kijani ndiyo mpango. Akitoka baba Riz1 lazima tuweke kijani nyingine ikulu, wapinzani nyie msahau, labda mpaka mtakapokuja na sera zenye mlengo wa maendeleo na si kuwachanganya wananchi mara eti ufisadi mara enheee!

Muweke mwingine!! Sio uingie wewe??
 
Ili tuendelee kama Taifa tunahitaji
1.ARDHI
2.WATU
3.SIASA SAFI
4.UONGOZI BORA
By J.k Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…