INTARAHAMWE WA Prof.LIPUMBA


Hatua mchukulieni kwanza kikwete aliyetishia kuipindua nchi kijeshi. Na ukiandika uzi mwingine tumia kichwa sio makalio.
 

Lipumba hana tofauti na magazeti ya Rwanda yanayomchafua mh Kikwete kama wanyarwanda wanamtusi Rais wetu kwa kumwita Intarahamwe na Lipumba akasema hayo, unapata picha gani?
 

Tuacheni unafiki hivi mlikuwa hamjui kuwa rasimu ni ya serikali tatu?
 
Inawezekana unajaribu kudhani ukiwa nje ya bunge na u mwananchi wa kawaida.

Ila najaribu kutafuta link iliyopo kati ya maneno ya Prof. Lipumba na mchakato wote wa katiba kama viliendana na uliyoyasema wewe, nadhani hata Lipumba mwenyewe haamini iwapo aliyasema yale maneno
 
Ccm hawajaenda kwa wananchi wakakusanya maoni ya serikali mbili.aliye kwenda kwa wananchi ni warioba na tume yake na wananchi wakasema tatu sasa kama wanatumia ubabe kupinga maoni halali kwa nini tusiwaite INTERAHAMWEEEEEEE!!
 
Nadhani jazba ilitawala kuliko hekima. Personality yake ni 0%. Mi kwanza huwa simpendi, hana mvuto wa kisiasa wala hana ushawishi. Ki muonekano na hata kama akiwa jukwaani hafananii na kuwa mwanasiasa. Nadhani walikosea waliomdanganya kuingia siasa, tunasema aliingia choo cha kike angali ni mwanaume! Pole zake, ataendelea kuwapigia saluti watu wasiokuwa hata na digirii.
 
Shida ya Lipumba kabebwa na siasa za kihuni naye kabebeka mwacheni atatukuta mwakani sijui kama hata kura elfu kumi atapata.

Hivi bado anagombeaga yeye tuuuuuu?

HUYU NDIYE
HASWAAA KOFIA YA 'INTERAHAMWE' INAMTOSHA!
(HEBU WOTE WANAOJIFANYA 'UKAWA' WAAZIMIE KWA PAMOJA KWAMBA MGOMBEA WAO WA URAIS AWE LISSU TUWAAMINIAMINI KIDOGO!)

 
ccm wengi wao hawatumii akili zao,wameambiwa na wakuu wao serikali mbili na wao wameng'ng'ania.
 

Umewapigilia msumali mkali.

CCM fisadi, wauza unga na majangiri wa tembo kuwang'oa madarakani kidemokrasia ni kazi ngumu...na bado watazalisha interahamwe zaidi ya ilivyokuwa Rwanda...

It's very abnormal kuona siasa inavyoendeshwa Tanzania. Uongo uongo kila mahali. Nini kinachowazungusha ccm sasa na propagada zao serikali3?
 
Nanukuu tafadhali kulingana na maneno ya Mh Lipumba wale wote wasiopenda haki nakutetea masirahi yao kama ccm ni Intarahamwe....
mi Ukawa jamani na Intarahamwe sijui mwenzangu.
Natetea masirahi ya wananchi wenzangu!!
Nakuunga mkono serikali 3!!
 
Hebu fikiria ktk secta moja tu ya BENK KUU tunawakuta watoto wa vigogo1.FILBET SUMAYE 2.BEATRICE BOMANI3.PAMELA LOWASA4.ZACHARIA KAWAWA5.SALAMA MWINYI6.RACHEL MSEKWA7.SALAMA MAHITA 8.JANE SITA9.JASMIN KARUME 10.JUSTINA NCHIMBI11.BLASIA W.MKAPA12.RADHIA SHEIN13.JEROME DIALO 14.LIKELE NGASONGWA 15.ANDY MAGUFULI-16.THOMAS MONGELA17.JABIR KIGODA 18.MARY MRAMBA


Hawana aibu nguruwe hawa sijuwi watanzania tumelogwa na nani
 
Lipumba hana tofauti na magazeti ya Rwanda yanayomchafua mh Kikwete kama wanyarwanda wanamtusi Rais wetu kwa kumwita Intarahamwe na Lipumba akasema hayo, unapata picha gani?
Kwa matamshi aliyotoa Lipumba anaanza kukosa sifa za Kitaifa!
Sana sana anamsarandia Lissu, amejidowngrade kweli kweli.
 
Nanukuu tafadhali kulingana na maneno ya Mh Lipumba wale wote wasiopenda haki nakutetea masirahi yao kama ccm ni Intarahamwe....
mi Ukawa jamani na Intarahamwe sijui mwenzangu.
Natetea masirahi ya wananchi wenzangu!!
Nakuunga mkono serikali 3!!

mimi natetea masilahi ya wananchi wenzangu naunga mkono serikali moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…