Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
Halafu mbona unamsemea na kumtetea sana badala ya kumwacha mwenyewe aseme au ndio mambo ya multiple accounts? Honestly ninachokiona ni arrogance kwenye majibu yako. Jaribu kujibu basi kama expert ambaye unataka kujionesha kuwa ni mmojawapo.a "security hacker", someone who, with their technical knowledge, uses bugs or exploits to break into computer systems.
Nimechukua tu hicho kipengele. Unakataaje skills zingine wakati hicho kipengele kinachoongelea maana ya hacker kinataja technical knowledge?
Brute force attack ni shambulio la kuwapata wazembe. Itafanya kazi pale tu kukiwa kuna broken Locking Mechanism. Ukizidisha Quota tuna block account na kumtumia ujumbe owner. Same IP ikiwa inajaribu multiple account tuna i black-list, game over. Ukiwa stubborn, tuna trace IP yako na kukupeleka mbele ya mkono wa sheria. It works that simple!
Mtu anayetaka kutumia brute force attack anapaswa ku fly low na asigundulik jambo litakalochukua muda mrefu ku hack account na unaweza kuta upgrades zilishafanyika ambapo inabidi uanze upya tena. Kiufupi BF attack is reserved for foolish site or exploitation of bugs that break locking mechanism kama ilivyokuwa kwa Insta (soma hapa)