and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,227
- 39,713
Katika kuonyesha kuwa awamu hii hamna janja-janja wale ndugu zetu watia rangi kwenye maisha (Inspirational Speakers) wamezidi kupungua na kutafuta shughuli halisi na kuachana na mambo ya kupiga domo tupu. Asante sana Mheshimiwa. Tuendapo hata Ma-MC watatoweka kwenye ramani.
Wamenyemeke haswa sio kucheza na Microphone tuTunataka watu wafanye kazi hasa physical work.
Mzee wa Fursa hasikiki tenaaaFURSA zimepotea kabisa aisee
Wale wazee wajinsi ya kujiajiri bila mtaji mmoja wao ni Anthony luvandaNdio akina nani hao?
Na kazi yao ni nini
Awamu hii tutauza mpaka figoWale wazee wajinsi ya kujiajiri bila mtaji mmoja wao ni Anthony luvanda
Wenyewe hata genge hawana hiiiiiiiiiiWale wazee wajinsi ya kujiajiri bila mtaji mmoja wao ni Anthony luvanda
Ana wivu wa kike! Ni utoto unamsumbuaPoint yako ni ipi hasa ,Maana sijakuelewa vizuri
Unajistukia eeh! Tulia sindano iingieWivu wa kike huu sasa...