Inside Mtwara: GESI ISITOKE - LOWASSA

Inside Mtwara: GESI ISITOKE - LOWASSA

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,543
Reaction score
14,803
Katika hali ya kujiandaa rasmi na pilika za kugombea urais 2015,Edward Lowasa katika kikao chake cha Ndani alichokifanya na wazee wa Mtwara wakati akipita kuelekea kwenye mazishi ya kifo cha marehem Major General Rashid Makame huko Tandahimba...

Lowasa kabla na baada ya kwenda mazikoni alipitia manispaa wa Mtwara Mikindani na kufanya kikao cha usiri wa hali ya juu na kuwaasa wazee hao kushikilia uzi wao, na kwamba yeye akiingia madarakan atahakikisha kwa kupitia gesi hiyo anaibadilsha Mtwara na kuipeleka katika level nyingine kusini yote kwa ujmla...

wazee hao walimpinga wazi wazi na kumkaripia ya kwamba wao kuhusu suala hilo hawahitaji Backup ya mtu yoyote yule..!

Wakamwambia yeye na swahiba wake Jk ndio walitoa ahadi nyingi kwenye kampeni za mwaka 2015 lakin leo hii mwenzake kageuka na kushupalia kuipeleka gesi hiyo Bagamoyo, je watamuamin vipi yeye kama hilo analolisema anamaanisha?

Wakazidi kumwambia kuwa kama yeye anautaka Urais basi aombe na awaombe kuungwa mkono kwa hoja zingine, lakini si suala la gesi, wao gesi washajitoa muhanga wa hali na nafsi zao, wanasubiri muda hule serikali itapoanza pilika pilika zake na wao waanzishe za kwao...

Lowasa ikambidi apanguse vumbi na kuondoka zake...

Kadiri siku zinavozidi kwenda ndivo mapya yanavozidi kuchomoza, lakini mwshowe itafahamika tuu.

Haitoki kweli...
 
Na haitoki kweli watu wa mtwara na kusini yote mkafie hapo kwenye gesi unajua hao huwa ni wanafiki,wana maneno matamu mdomoni ila matendo hamna..yeye lowasa pia amechangia kwa sehemu kubwa kuifikisha nchi hapa ilipo kiuchumi,watanzania tulio wengi ni mafukara wa kutupwa wakati wao wanamiliki pesa kibao.Tena wanafaidisha watu wengine kwenye nchi ambamo pesa hizo amezihifadhi kwenye mabenki yao.Kifupi nae ni kilaza mkubwa hana lolote na hongera wazee wa mtwara kwa kumpa makavu live...MUNGU ibariki mtwara MUNGU wabariki watu wa kusini na uendele kuwapa moyo wa kijasiri..AMEN.
 
mbona walishalainishwa siku nyingi, Lowasa anajua vya kuchinja tu...................
 
pepoleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Na haitoki kweli watu wa mtwara na kusini yote mkafie hapo kwenye gesi unajua hao huwa ni wanafiki,wana maneno matamu mdomoni ila matendo hamna..yeye lowasa pia amechangia kwa sehemu kubwa kuifikisha nchi hapa ilipo kiuchumi,watanzania tulio wengi ni mafukara wa kutupwa wakati wao wanamiliki pesa kibao.Tena wanafaidisha watu wengine kwenye nchi ambamo pesa hizo amezihifadhi kwenye mabenki yao.Kifupi nae ni kilaza mkubwa hana lolote na hongera wazee wa mtwara kwa kumpa makavu live...MUNGU ibariki mtwara MUNGU wabariki watu wa kusini na uendele kuwapa moyo wa kijasiri..AMEN.

Umesomeka Mkuu,
well said,ati wanataka kuwafanya chambo kwa kutumia tena hoja ya gesi,,
nadhani mwaka huu cha moto watakiona...
 
haitoki kweli...

Kma wanaweza kurudi marayapiili kuikata loliondo kwa mwekezaji asiye na ridhaa ya wananchi............naamini ggesi itatoka tu hata kwa mtuu wa bunduki..............wao wana majeshi bana..................
 
Wakamwambia yeye na swahiba wake Jk ndio walitoa ahadi nyingi kwenye kampeni za mwaka 2015 lakin leo hii mwenzake kageuka na kushupalia kuipeleka gesi hiyo bagamoyo,je watamuamin vipi yeye kama hilo analolisema anamaanisha?

...
Mkuu nadhani ulimaanisha 2005!
 
Katika hali ya kujiandaa rasmi na pilika za kugombea urais 2015,Edward Lowasa katika kikao chake cha Ndani alichokifanya na wazee wa mtwara wakati akipita kuelekea kwenye mazish ya kifo cha marehem Major General Rashid Makame huko tandahimba...

lowasa kabla na baada ya kwenda mazikoni alipitia manispaa wa mtwara mikindani na kufanya kikao cha usiri wa hali ya juu na kuwaasa wazee hao kushikilia uzi wao,na kwamba yeye akiingia madarakan atahakikisha kwa kupitia gesi hiyo anaibadilsha mtwara na kuipeleka katika level nyingine kusini yote kwa ujmla...

wazee hao walimpinga wazi wazi na kumkaripia ya kwamba wao kuhusu suala hilo hawahitaji Backup ya mtu yoyote yule..!

Wakamwambia yeye na swahiba wake Jk ndio walitoa ahadi nyingi kwenye kampeni za mwaka 2015 lakin leo hii mwenzake kageuka na kushupalia kuipeleka gesi hiyo bagamoyo,je watamuamin vipi yeye kama hilo analolisema anamaanisha?

Wakazid kumwambia kuwa kama yeye anautaka Urais basi aombe na awaombe kuungwa mkono kwa hoja zingine,lakin si suala la gesi,wao gesi washajitoa muhanga wa hali na nafsi zao,wanasubiri muda tuh serikali itapoanza pilika pilika zake na wao waanzishe za kwao...

Lowasa ikambid apanguse vumbi na kuondoka zake...

Kadir siku zinavozid kwenda ndivo mapya yanavozid kuchomoza,lakin mwshowe itafahamika tuh...

Haitoki kweli...

Mkuu THE BIG SHOW mkilegeza tu basi mjue vizazi na vizazi vitabaki katika hali ya umasikini wa kutupwa mpaka mwisho wa dunia!Mungu kawapa kila kitu mshindwe wenyewe tu kutumia. Komaeni mkuu, kunyanyuka kiuchumi Mkoa wa Mtwara na Lindi ni kunyanyuka kiuchumi kwa Tanzania maana hamjakataza mtu kwenda kufanyakazi mtwara akitaka.

Nipo pamoja na nyie wakuu.
 
Wakazid kumwambia kuwa kama yeye anautaka Urais basi aombe na awaombe kuungwa mkono kwa hoja zingine,lakin si suala la gesi,wao gesi washajitoa muhanga wa hali na nafsi zao,wanasubiri muda tuh serikali itapoanza pilika pilika zake na wao waanzishe za kwao...
Kwani wewe mwenzetu gesi ya Mtwara unataka itumike vipi? maana umen'gan'gana sana gesi isitoke mtwara. Ebu tuelimishe na wengine tuelewe sababu za ubishi wako, so far the government has come up with the economic argument za sababu kupeleka gesi bagamoyo ni kwa ajili ya umeme tu.

Gesi ambayo itakuwa ya kuuzwa nje kila kitu kitatokea Mtwara and other investments will follow including a port and other business investment. Tunavyofahamu wengine gesi aiendi bagamoyo bali inaenda zalisha umeme na location was based on the cheapest option bearing in mind what it takes to run that sort of business.

Sasa na wewe embu tuelezee unachotaka ni nini? gesi ibaki huko huko ardhini au kwanini kiwanda cha umeme pia kijenge Mtwara just present your argument based on facts and government numbers hili tuelewe zaidi, kuliko kupiga makelele na kulazimisha fujo kisa gesi wakati hutoi argument zenye faida ya utaifa gesi kubakia Mtwara.
 
Kwani wewe unavyong'ang'ania na huyo mwenyekiti wako wa chama chenu gesi ikazalishe umeme bagamoyo kwani kuna ubaya gani ukizalishwa mtwara na umeme usambazwe hadi kenya?unajua usije na post zako ukadhani watu hawajui kilicho nyuma ya pazia,km kweli mlikuwa na nia mzuri na mtwara kwa nini usipanue bandari ya mtwara ambayo toka awali ina kina kirefu kuliko ya dar,tanga na ukaenda kuiboresha ya bagamoyo? Sasa wakati wa kupumbaza watu umepita na hata km watu wa kusini mmewanyima elimu ila macho wanayo na picha wanaona,kifupi pale mtwara ht waende na mabomu ya sumu wataua wote na ndipo gesi ipelekwe bagamoyo vinginevyo patawaka moto.
 
Hizo ni chuki na woga,Lowassa sasa hivi hufuatwa, alikutana na wazee waliyomfuata na Kama Kawaida yake aliwasikiliza na kuondoka.Huo ni uongo,huyu ndiyo mzee wa maamuzi magumu
 
Kwani wewe mwenzetu gesi ya Mtwara unataka itumike vipi? maana umen'gan'gana sana gesi isitoke mtwara. Ebu tuelimishe na wengine tuelewe sababu za ubishi wako, so far the government has come up with the economic argument za sababu kupeleka gesi bagamoyo ni kwa ajili ya umeme tu.

Gesi ambayo itakuwa ya kuuzwa nje kila kitu kitatokea Mtwara and other investments will follow including a port and other business investment. Tunavyofahamu wengine gesi aiendi bagamoyo bali inaenda zalisha umeme na location was based on the cheapest option bearing in mind what it takes to run that sort of business.

Sasa na wewe embu tuelezee unachotaka ni nini? gesi ibaki huko huko ardhini au kwanini kiwanda cha umeme pia kijenge Mtwara just present your argument based on facts and government numbers hili tuelewe zaidi, kuliko kupiga makelele na kulazimisha fujo kisa gesi wakati hutoi argument zenye faida ya utaifa gesi kubakia Mtwara.

Where have you been?
Tumetoa hoja zetu nyingi sana kuhus suala hili siku nyiingii,fungua na peruzi peruzi hum jukwaani utazikuta na utanufaika nazo sana..

Inshort wana kusini si wajinga kias cha kushindwa kuelewa nin faida ya gesi hii kwa taifa hili kwa ujumla,

historia ya kusini imegubikwa na malalamiko ya miaka mingi dhidi ya serikali hii kuipuuza na kuinyima vipaombele katika mambo mbali mbali ya kimaendeleo ikiwemo elimu,maji,bara bara,umeme na miundombinu mingine mingi tuh,soko la korosho na changamoto zake ikiwa ni miongoni mwa sababu,

serikali hii imeka ni serikali ambayo imekua inatoa ahadi kila leo juu ya kusini pasi na utekelezaji,sasa kwa kuguundulika kwa gesi wanakusini wamepata sehemu ya kushikia,

wanataka kuiadhibu serikali na kuionesha ya kwamba siku zote hakuna marefu yasiyo na ncha,

wanachotaka wanakusini kwa sasa ni kutekelezwa kwa ahadi zilizowekwa na serikali hii 2005,2010 kwenye sera za chama chao juu ya kusini nadhani unazifaham,,

tuanze na MTWARA CORRIDOR KWANZA AMBAYO IMEHAMISHIWA KWINGINE...

Haturopoki na kumwaga povu,tuna mengi yenye maana...
 
Uumetimiza wajibu wako,umeenda kanisani? Nenda usali upunguze dhambi.
 
Katika hali ya kujiandaa rasmi na pilika za kugombea urais 2015,Edward Lowasa katika kikao chake cha Ndani alichokifanya na wazee wa Mtwara wakati akipita kuelekea kwenye mazishi ya kifo cha marehem Major General Rashid Makame huko Tandahimba...

Lowasa kabla na baada ya kwenda mazikoni alipitia manispaa wa Mtwara Mikindani na kufanya kikao cha usiri wa hali ya juu na kuwaasa wazee hao kushikilia uzi wao, na kwamba yeye akiingia madarakan atahakikisha kwa kupitia gesi hiyo anaibadilsha Mtwara na kuipeleka katika level nyingine kusini yote kwa ujmla...

wazee hao walimpinga wazi wazi na kumkaripia ya kwamba wao kuhusu suala hilo hawahitaji Backup ya mtu yoyote yule..!

Wakamwambia yeye na swahiba wake Jk ndio walitoa ahadi nyingi kwenye kampeni za mwaka 2015 lakin leo hii mwenzake kageuka na kushupalia kuipeleka gesi hiyo Bagamoyo, je watamuamin vipi yeye kama hilo analolisema anamaanisha?

Wakazidi kumwambia kuwa kama yeye anautaka Urais basi aombe na awaombe kuungwa mkono kwa hoja zingine, lakini si suala la gesi, wao gesi washajitoa muhanga wa hali na nafsi zao, wanasubiri muda hule serikali itapoanza pilika pilika zake na wao waanzishe za kwao...

Lowasa ikambidi apanguse vumbi na kuondoka zake...

Kadiri siku zinavozidi kwenda ndivo mapya yanavozidi kuchomoza, lakini mwshowe itafahamika tuu.

Haitoki kweli...
mbona tuliambiwa kwamba wezee na wananchi wote wa mtwara wamekubali gesi ipelekwe dar?
 
Kwani wewe mwenzetu gesi ya Mtwara unataka itumike vipi? maana umen'gan'gana sana gesi isitoke mtwara. Ebu tuelimishe na wengine tuelewe sababu za ubishi wako, so far the government has come up with the economic argument za sababu kupeleka gesi bagamoyo ni kwa ajili ya umeme tu.

Gesi ambayo itakuwa ya kuuzwa nje kila kitu kitatokea Mtwara and other investments will follow including a port and other business investment. Tunavyofahamu wengine gesi aiendi bagamoyo bali inaenda zalisha umeme na location was based on the cheapest option bearing in mind what it takes to run that sort of business.

Sasa na wewe embu tuelezee unachotaka ni nini? gesi ibaki huko huko ardhini au kwanini kiwanda cha umeme pia kijenge Mtwara just present your argument based on facts and government numbers hili tuelewe zaidi, kuliko kupiga makelele na kulazimisha fujo kisa gesi wakati hutoi argument zenye faida ya utaifa gesi kubakia Mtwara.

Kwa ushauri wa bure Mkuu soma TAMKO la Masheikh na wanazuoni wa mkoa wa Mtwara, limejitosheleza kabisa na limeeleza nini wana Mtwara wanategemea kutoka kwenye gesi yao
 
Mkuu THE BIG SHOW mkilegeza tu basi mjue vizazi na vizazi vitabaki katika hali ya umasikini wa kutupwa mpaka mwisho wa dunia!Mungu kawapa kila kitu mshindwe wenyewe tu kutumia. Komaeni mkuu, kunyanyuka kiuchumi Mkoa wa Mtwara na Lindi ni kunyanyuka kiuchumi kwa Tanzania maana hamjakataza mtu kwenda kufanyakazi mtwara akitaka.

Nipo pamoja na nyie wakuu.

Pamoja saana Mkuu Mwili nyumba

hao jamaa wanadhani kama ni masihara flan au pia wanapohis watu wametulia basi wanadhani wamekubali matokeo,ila sisi tutawaonesha,wao si ni serikali?

Tutairudisha ile vita ya maji maji upya,nadhan yanayotokea liwale huko kwa sasa wanayaskia,watatuelewa tuuh,,
 
Hizo ni chuki na woga,Lowassa sasa hivi hufuatwa, alikutana na wazee waliyomfuata na Kama Kawaida yake aliwasikiliza na kuondoka.Huo ni uongo,huyu ndiyo mzee wa maamuzi magumu

chini ya uratibu wa serukamba umetisha
 
Back
Top Bottom