Inside Mtwara: GESI ISITOKE - LOWASSA

Inside Mtwara: GESI ISITOKE - LOWASSA

waongezee kuwa na ruangwa wameonesha cheche na huu ni mwendelezo hakuna kudanganywa na mtu yeyote kuhusu hili na tusikubali gesi na barabara kiwe ni kigezo cha mtu kuingia madarakani hizo zimeshapitwa na wakati big up ma ppo of south...

sawa sawa,
tupo pamoja sana
 
Maneno ya vijiwe vya gongo THE BIG SHOW. Kama ni vikao vya siri wewe ulikuwapo? Wewe na gesi tu? Kwani yenu au gesi ya taifa?

pole sana CCM original
2015 hii hapa kwenye kona,,,
mjiandae kwenda jela sasa...
 
unajua kinachomsumbua lowasa ni kuwa jamaa kwa sasa anaona muda unazidi kwenda na matarajio yake yanazidi kufifia ndio maana unaona ameamua kila mtu afe kivyake ili ifikapo mwaka 2015 ajue mbivu ni zipi na mbichi ni zipi hahahaha
 
itajulikana tuh,waache watoane roho wenyewe..
Lakini mwsho wa siku haitoki kweli...
 
Back
Top Bottom