Inside Mtwara: GESI ISITOKE - LOWASSA

Inside Mtwara: GESI ISITOKE - LOWASSA

pepoleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuummmmmmmmmmmmmbbbbbbbbbbbaaaaaaaaaaaffffffffffffffffffff
 
mbona tuliambiwa kwamba wezee na wananchi wote wa mtwara wamekubali gesi ipelekwe dar?

usipende kuamin kila unachoambiwa,especially kwa watawala ambao wana hulka ya ufisadi na ubinafsi...
Ni hatari sana hao jamaa,tena weka mbali na tembo,ila huku gesi haitoki hadi kieleweke...
 


Gas haitoki ,jamaa wanafikiri ni mzaha ila waache watie ulimi kuonja mafuta ya moto .
 


Gas haitoki ,jamaa wanafikiri ni mzaha ila waache watie ulimi kuonja mafuta ya moto .

hilo ndilo wanalolitaka,
kama wamemfuatilia Mh Habib mnyaa bungeni hiv majuuz alizungumza vitu vya msingi sana,ila kwa kuwa serikali hii ni ya kupuuzia puuzia kila kitu sasa dawa yake ni kwenda nayo kihun kihun hivyo hivyo...
 
usipende kuamin kila unachoambiwa,especially kwa watawala ambao wana hulka ya ufisadi na ubinafsi...
Ni hatari sana hao jamaa,tena weka mbali na tembo,ila huku gesi haitoki hadi kieleweke...
awa jamaa zangu wa ccm,hila na uongo wanaousema mara zote unawarudi wenyewe kwa nini wanashindwa kujirekebisha?
 
awa jamaa zangu wa ccm,hila na uongo wanaousema mara zote unawarudi wenyewe kwa nini wanashindwa kujirekebisha?

majangili wa tembo na majangili wa gesi wote ni majangili tuh,

kama tupinga kuhusu kuuzwa kiholela na kuuwawa kwa tembo ndivyo vivo hivyo tunavyopaswa kusimama kidete dhidi ya hawa majangili wa gesi,

jangili ni jangili tuh,
 
Safi sana,inabidi mashemeji zangu mkomae sana na hakika nipo nyuma yenu
 
Maneno ya vijiwe vya gongo THE BIG SHOW. Kama ni vikao vya siri wewe ulikuwapo? Wewe na gesi tu? Kwani yenu au gesi ya taifa?
 
mtwara wazee kwa vijana wanajua kabisa tatizo ni ccm na suluhu ni mabadiliko ahsanteni wazee na wakzi wote wa mtwara
 
Pamoja saana Mkuu Mwili nyumba

hao jamaa wanadhani kama ni masihara flan au pia wanapohis watu wametulia basi wanadhani wamekubali matokeo,ila sisi tutawaonesha,wao si ni serikali?

Tutairudisha ile vita ya maji maji upya,nadhan yanayotokea liwale huko kwa sasa wanayaskia,watatuelewa tuuh,,
waongezee kuwa na ruangwa wameonesha cheche na huu ni mwendelezo hakuna kudanganywa na mtu yeyote kuhusu hili na tusikubali gesi na barabara kiwe ni kigezo cha mtu kuingia madarakani hizo zimeshapitwa na wakati big up ma ppo of south...
 
Kwani wewe unavyong'ang'ania na huyo mwenyekiti wako wa chama chenu gesi ikazalishe umeme bagamoyo kwani kuna ubaya gani ukizalishwa mtwara na umeme usambazwe hadi kenya?unajua usije na post zako ukadhani watu hawajui kilicho nyuma ya pazia,km kweli mlikuwa na nia mzuri na mtwara kwa nini usipanue bandari ya mtwara ambayo toka awali ina kina kirefu kuliko ya dar,tanga na ukaenda kuiboresha ya bagamoyo? Sasa wakati wa kupumbaza watu umepita na hata km watu wa kusini mmewanyima elimu ila macho wanayo na picha wanaona,kifupi pale mtwara ht waende na mabomu ya sumu wataua wote na ndipo gesi ipelekwe bagamoyo vinginevyo patawaka moto.

Mwambie huyo!anafikiri mtwara ya leo ndo ya enzi zile!....mtuambie bagamoyo kunani?,kila ki2 dar,ndo maana mikoa mingine inabaki nyuma,halafu mnashangaa watu kung'ang'ania dar!?hizo rasilimali ziboreshe kwanza mikoa husika na mingine ifuate!
 
Huyu lowasa jamani Nyerere alishamwambia asigombee urais yeye bado anaufukuzia pesa unazo si utulie vua gamba kwanza
 
EL anafuata upepo tu -- kama alivyo huyo swahiba wake wa siku nyingi aliyoko Mjengoni. Kwa nini hakujitokeza pale pale mwanzo kabisa kujikita upande wa wananchi. He is unfit to be president. Kwanza hawezi kusimamia vita ya rushwa kwa namna yeye alivyochafuka.
 
Hizo ni chuki na woga,Lowassa sasa hivi hufuatwa, alikutana na wazee waliyomfuata na Kama Kawaida yake aliwasikiliza na kuondoka.Huo ni uongo,huyu ndiyo mzee wa maamuzi magumu
Huyu ni mkuu wa wanafiki tanzania kama angekuwa mzee wa maamuzi magumu mbona hakubomoa magorofa 100 ya Kariakoo na posta kwa kutumia ripoti ya tume aliyoiunda yeye 2006 na hadi anaondoka 2008 miaka miwili baadaye hata moja halijabomolewa leo wapambe nuksi wake wanataka Pinda awajibishwe kwa kutoimpliment ripoti ya tume ya Lowasa wakati mwenye tume aliikalia kwa miaka miwili kabla ya kufurushwa, wanafiki wakubwa. Hakuna malaika anaweza kuishi kwa starehe katikati ya mashetani CCM Lowasa ni ccm nae shetani mkubwa kabisa
 
Back
Top Bottom