Hii ni korean drama iliyotoka mwaka 2017 ina episodes 18.katika series zangu Bora duniani hii inaingia kwenye Top 3 yangu si rahisi kwangu korean drama yoyote kuingia kwenye list ya best series of all time kwa upande wangu lakini hii kutokana na kuwa na ubora mkubwa na yenye kusisimua imeingia.
Ubora wake uko wapi?
Kwanza kabisa ubora wake unaanzia kwenye script, Mwandishi wa hii drama alitakiwa ajengegwe sanamu ya pekee yake.Alitengeneza hii drama kwa pande mbili ya starring na adui na zote akazipa nguvu zinazoshabiana hii ni moja ya kitu ambacho ni nadra Sana kukuta kwenye series zingine kwasababu starring anapewa nguvu kubwa haswa.
Ubora wa pili ametengeneza hii drama kwa namna ikishaisha episode moja unatamani ucheki next episode ujue kitajili kutokana na utamu wenyewe.kwa kifupi ina mtiririko mzuri wa story.
Ubora wa tatu Kuweka complicated events, hii imefanya ilete msisimuko kwa watazamaji naye kujikuta kama sehemu ya hiyo drama kuanza nae kutabidi matukio mbalimbali yanayotokea kwenye hiyo drama.
Characters wamecheza vizuri
Honesty nimependa namna adui alivyocheza ni kiwango Cha juu Sana na amesaidia kuleta mvuto mkubwa kwenye hii drama alikuwa katili na mwenye maamuzi ya haraka.
Content
Ina story nzuri ndani yake ina matumizi ya akili, ngumi za maana.Kiufupi nimeipa rate ya 9/10