Uko vizuriNdio raha jf...
Kila mtu anajua ila jibu halitolewi.
Kontena 40 ni chache sana. Hiyo ni karibu 1/38 ya kontena zinazobebwa na meli moja.
Lakini ndege aina ya AIRBUS, ANTONOV NA BOEING 767 zinapopaa zinatumia nguvu ya tani 700, yaani ile power itumikayo kuilift ndege ni ya tani 700 sawa na karibu Semi trailer 25 kwa mpigo zenye tani 20(almost) kila moja.
rowasa=lowasa
Mwenzako anasema behewa 40,wewe unaleta habari za contena40!!!.
Mkuu huwezi kuifananisha na injini ya lowasa kwenye uchaguzi wa msimu huu,rowasa ana nguvu sana asee
Hakuna ukweliHakuna ukweli
hiltonh247, naona kuna watu kweli bado wanaishi katika karne ya 19...ni kweli Wärtsilä-Sulzer RTA96-C inayotumika kuendesha meli kubwa (kama single-screw Post-Panamax container liner) mpaka sasa ndiyo injini yenye nguvu kuliko zote duniani. Ziko meli zinaweza kupakia mabehewa yote ya treni yaliyo nchini Tanzania pamoja na injini zao. Wärtsilä-Sulzer RTA96-C ina nguvu inayofikia 80MW na mpaka sasa ziko 25 tu duniani zinazofanya kazi huku zingine zikiwa bado zimeagizwa kutengenezwa.Hapo umenena kamanda...na hata ukiangalia biggest engine of all the time ni ya meli
How big: 89 feet long and 44 feet wide, 1,820 liters per cylinder, 10,920 to 25,480 liters total
How powerful: 107,389 horsepower
The Finnish Wärtsilä-Sulzer RTA96-C powers the largest vessels in the world. It's a two-stroke turbo running on heavy fuel oil and it can be configured with six to fourteen cylinders
hiltonh247, naona kuna watu kweli bado wanaishi katika karne ya 19...ni kweli Wärtsilä-Sulzer RTA96-C inayotumika kuendesha meli kubwa (kama single-screw Post-Panamax container liner) mpaka sasa ndiyo injini yenye nguvu kuliko zote duniani. Ziko meli zinaweza kupakia mabehewa yote ya treni yaliyo nchini Tanzania pamoja na injini zao. Wärtsilä-Sulzer RTA96-C ina nguvu inayofikia 80MW na mpaka sasa ziko 25 tu duniani zinazofanya kazi huku zingine zikiwa bado zimeagizwa kutengenezwa.
Injini ya treni yenye nguvu kuliko zote duniani ina chini ya 10,000 HP. Wärtsilä-Sulzer RTA96-C ya cylinder 16 ina nguvu ya zaidi ya 100,000 HP mara kumi ya injini ya treni. Hii ina maana kwamba RTA96-C moja ni sawa na treni 10 na hizo treni tunazooongelea ni habari nyingine na si hizi za kwetu.
Meli iliyofungiwa Wartsila-Sulzer RTA96-C turbocharged two-stroke diesel engine ikiwa imepakia maelfu na maelfu ya container.
Container 15,000 (elfu kumi na tano) za futi 20!Container elfu ngapi tuseme?
Sasa basi ujue kuna injini za vipepeo ni kiboko hata kuliko hilo treni lako.
Mwenzako anasema behewa 40,wewe unaleta habari za contena40!!!.