Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,371
- 6,502
Hivi huyu Rais wetu, JK, alikuwa anatumia initials JK? Hivi ni sahihi kweli kwani jina lake kamili ni Jakaya Mrisho Kikwete na inatakiwa kuwa JM Kikwete. Au labda aliona zikifanana na hayati Julius Kambarage Nyerere (JK Nyerere) atafanya vizuri, watu watamkubali au vipi?