Ingiza nusu halafu sikilizia

Ingiza nusu halafu sikilizia

Tuendelee kuingiza nusu na kusikilizia

Ndiyo, ni suala la kununua hisa kwenye soko la hisa Dar es salaam

Kama una milioni 20, Anza kuingiza nusu yaani 10M then nyingine Kaa usikilizie mwenendo wa soko 🤭
 
Naam si vyema kuingiza yooote kama vile zuzu/fala.

Ili ufanikiwe unatakiwa kuingiza kidogo halafu unasikilizia,, tartiibu utaona jinsi inavyochanganya ndio unaongeza tena kidogo halafu unatoa.

Hii mbinu inatumika hata kwenye masoko ya dhahabu duniani ndio maana utaona bei mara imepanda au hata dola halafu baadae tena inashuka,

Kwa hiyo na wewe mtaji wako kwenye biashara weka kidogo halafu sikilizia,
Si ndio! equation ibalance tu usije vunja mizani !
 
Back
Top Bottom