Ingiza nusu halafu sikilizia

Ingiza nusu halafu sikilizia

Naam si vyema kuingiza yooote kama vile zuzu/fala.

Ili ufanikiwe unatakiwa kuingiza kidogo halafu unasikilizia,, tartiibu utaona jinsi inavyochanganya ndio unaongeza tena kidogo halafu unatoa.

Hii mbinu inatumika hata kwenye masoko ya dhahabu duniani ndio maana utaona bei mara imepanda au hata dola halafu baadae tena inashuka,

Kwa hiyo na wewe mtaji wako kwenye biashara weka kidogo halafu sikilizia,
Niache iliyobaki nje?Nikiumwa na mbu?Kazi-kazi tu!
 
Ila ikikaa vizuri weka yote, japo ukifeli utapoteza mda kukitafta upya
 
Boss, mada inaongelea kuhusu kuingiza mtaji "kidogo kidogo" kwenye biashara. Watu wanashauriwa wasiingize "mtaji" wote! Badala yake wanatakiwa "kuingiza" kidogo, halafu wanasikilizia kwanza matokeo.
Wajomba wanawaza migegedo tu
20260423_110534.jpg
 
Hahaha!
Baada ya kusoma nikarudi kuangalia profile ya mwandishi.
 
Back
Top Bottom