Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,822
- 59,428
Wifi malezi yanachangia sana. . . Huwezi kulelewa katika mazingira ya kujitegemea alafu ukubwani ukaja kuwa tegemezi.Na kweli tunaendekeza wenyewe. Kuna mtu akipata mteremko (nimeona hata wanaume na ndugu zao wanategemea mwanamke). Unajiskiaje kurudi nyumbani ndugu zako wamejaa wanagombea remote? Wababa wazimaa. Na wamama watarajiwa? Nadhani malezi yanachangia!