Ingependeza kama wanawake wakijibu swali hili

Naomba ufafanuzi toka kwa akina ME and HE kabla sijaendelea kuchangia mengi.
Kwa nini mwapenda O? Siriazily
Labda mkitujiza twaweza panda njia ya kuwasaidia kirahisi zaidi
 
Labda hatotamka hiyo "sitomlipia fulani" ila wanake hua wanakua na hofu ya kukasirikiwa kisha kusitishiwa hayo matumizi yao na ndugu.Ndio maana mtu yupo radhi kufanya mambo aliyowahi kukana hatoweza. . .

Tena mbaya zaidi waliopo kwenye ndoa hata hawahitaji kutishiwa. . .

Ni kweli Lizzy but hiyo yote inatokana na kujiamini, kujitambua kwa mwanamke mwenyewe. Mwanaume akitaka kufanya ujinga wake kwa mkewe atataka tuhaijalishi ni tegemezi au la! Na mwanamke asitejiaminiwhether ni tegemezi au sivyo bado atafanyiwa manyanga hayo tu. Kuendewa kinyume na maumbile hakuna tofauti na kupigwa,je unadhani wanaopigwa na waume zao na kudharauliwa ni tegemezi peke yao??!
 
Darling kama nimemwelewa Mtambuzi si kuwa wote wawili wanafurahia!bali kuna mmoja analazimishwa au mie sijaelewa wajameni?
hapo nakupata dear,undue pressure, anaona nikikataa itakuwa soo,hapo kweli,na anayemlazimisha mwenzie katika hili ni haramia,hafai kabisa,na afilisike aokote makopo.
 
Naomba ufafanuzi toka kwa akina ME and HE kabla sijaendelea kuchangia mengi.
Kwa nini mwapenda O? Siriazily
Labda mkitujiza twaweza panda njia ya kuwasaidia kirahisi zaidi

Kongosho dia hii sasa ni mada inayojitegemea nadhani loh! Utarudishiwa hapa kuwa wapo wanawake wanaopenda so nao waseme why!? Ah laana hizi
 
Hahaha! Eti aokote makopo! Una maana afilisike kisera?
hapo nakupata dear,undue pressure, anaona nikikataa itakuwa soo,hapo kweli,na anayemlazimisha mwenzie katika hili ni haramia,hafai kabisa,na afilisike aokote makopo.
 
hapo nakupata dear,undue pressure, anaona nikikataa itakuwa soo,hapo kweli,na anayemlazimisha mwenzie katika hili ni haramia,hafai kabisa,na afilisike aokote makopo.
Bishanga yote haya yalitabiriwa, kama wewe ni msomaji wa biblia nenda kasome Kumbukumbu la Torati, mlango wa 28, yote yatendekayo sasa yalishatabiriwa.
 
Ni kweli Lizzy but hiyo yote inatokana na kujiamini, kujitambua kwa mwanamke mwenyewe. Mwanaume akitaka kufanya ujinga wake kwa mkewe atataka tuhaijalishi ni tegemezi au la! Na mwanamke asitejiaminiwhether ni tegemezi au sivyo bado atafanyiwa manyanga hayo tu. Kuendewa kinyume na maumbile hakuna tofauti na kupigwa,je unadhani wanaopigwa na waume zao na kudharauliwa ni tegemezi peke yao??!
Yeahhhh ni tegemezi sana tu....sema tu sio wa kifedha.
Yawezekana akawa tegemezi wa kimawazo. . . . hawezi kujiamulia kitu mwenyewe.Hata kama ni kibaya atafanya alimradi fulani ndo kasema.

Au tegemezi wa kihisia. . .hujaona mtu anapigwa yeye,anacheatiwa yeye, ananyanyaswa yeye na anajua kabisa hatendewi haki ila yeye ndio anaeomba msamaha?Na mwenzake anaona sifa kuombwa yeye msamaha?
Yote hio inatokana na utegemezi. . . kwasababu utegemezi wa aina yoyote ule unamnyima mtu uhuru
/heshima toka kwa anaowategemea na kadhalika.We unadhani kwanini mume anaweza kumnyanyasa/kumtaka mkewe mwenye kazi nzuri afanye mambo ya ajabu?Nini kinamfanya ajiamini hivyo? Jibu ni kwamba anajua mkewe anamtegemea. . . hata kama sio kifedha.
 
Lakini tegemezi ilowekwa hapa ni ya mali, kusomesha ndugu, kumtunza yeye au?
 
za siku Husn?
TF hajambo?
Hayo sio mapenzi ni biashara,i think there is a big difference.

poa bishanga, TF nafikiri hajambo.
Kwa case hiyo ni biashara kabisa hapo, hakuna mapendo hata kidogo. Halafu cha ajabu ni kwamba huyo mwanaume ameoa, kisa cha kubwaga nacho ni kwamba mbaba aligundua huyo dada ana mwanaume mwingine wa chuo. Haya mambo jamani!!
 
Lakini tegemezi ilowekwa hapa ni ya mali, kusomesha ndugu, kumtunza yeye au?

Still. . hatuwezi kusema kwasababu mtu hafanyi kwakua sio tegemezi wa matunzo hatofanya kwasababu ya tegemezi la aina nyingine.

Neway labda nimetoka nje ya mada. . . .pole kwa usumbufu.
 
1.ningemuambia kwa zamu na namuanza yy zen mm nasepa pumbafffffffffffff zake............yani wananiuzi muno watu waivo ambao hutumia pesa kukulazimisha kitu sheeeeeeeeeenzi type zake
2.plan B
ningemtafutia wahuni wamuoneshe machungu ya iyo kitu zen ndio angeelewa kua ni vibaya sana kumfanya mwanadamu mwenzio ivo next time
 
poa bishanga, TF nafikiri hajambo.
Kwa case hiyo ni biashara kabisa hapo, hakuna mapendo hata kidogo. Halafu cha ajabu ni kwamba huyo mwanaume ameoa, kisa cha kubwaga nacho ni kwamba mbaba aligundua huyo dada ana mwanaume mwingine wa chuo. Haya mambo jamani!!
'unafikiri'TF hajambo,hahahaaaa mmefikia hapo,SL kakuzidi mbinu? Amempa nini ambacho we huna au huwezi kutoa?
 
Astaghafurllah, huyo ni jahili laana tul llahi kabisa, yaani kutaka tendo la kujamiiana kinyume na maumbile ni dhambi kubwa sana. kama ni mie, mnyaazi mungu aepushie mbali jambo hilo lisintokee, maana ningemtangaza mtaa mzima, na kila mtu angemjua kwamba ni Maaluni na hayawani asiye na haya
 
Hebu tuchukulie kwamba, una mwanaume ambaye hamjaoana, lakini ndiye unayemtegemea kwa kila kitu. Amekuwa akiwasaidia sana ndugu zako ili wafikie malengo yao katika maisha, na
anajitahidi sana kukupa karibu kila kitu,
unachohitaji katika maisha.

Lakini………… Mwanaume huyu anaanza
mchezo wa kutaka mfanye mapenzi kinyume
na maumbile. Anataka jambo hilo kwa njia
ambayo anaonesha kabisa kwamba
lisipotendeka mtaachana, na huduma zote
ulizokuwa ukifaidika nazo wewe na ndugu
zako zitakoma. Hebu niambie, kama ni wewe
ungefanyaje kwenye hili?
[/
SIZE]

Awasaidie ndugu zangu mimi kufikia malengo yao ya maisha yeye kawa JEHOVA.

Tena hiyo itakuwa sababu nzuri ya Divorce,kwani ni moja ya sababu chache zinazo halalisha ndoa kutenguliwa kwa wakristo,sijui kwa waislam.
 
Mtambuzi bana,hivi sa ingine huwa unafikiria nini wakati unaandaa mada? I am trying to enter your mind.I wish ningekuwa mtaalam wa telepathy,hahahahaaaa!!!!!

Mzee mwenzangu Bishanga, kwa uzee huu nilionao, nimekuwa nikiwaza na kujiuliza maswali mengi yenye utata, kwa kuwa katika jamii yetu, haya yapo, ndio maana najaribu kuwashirikisha wana JF wenzangu ili kupata changamoto zao. nafurahi kwamba napata majibu mengi yenye kuelimish, na ninaamini hata wasomaji watakuwa wamejifunza jambo pale watakapojikuta wamepata mtihani unaofanana na yale ninayouliza humu.

Nimefarijika sana baada ya my Daughter Lizzy kuweka thread ya kuelimisha juu ya utegemezi (https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/197043-utegemezi.html) likiwa ni wazo lililotokana na thread hii. hii inathibitisha kwamba yale ninayouliza humu huibua mengi ambayo hatuyajui na hapo ndipo tunapopata somo..............
 
Atakuwa ananisaidia na mimi namtegemea kwa kila kitu, na ndugu zangu pia.......kwa vile siye ni walemavu wasiokuwa na macho, miguu, mikono, akili au inakuwaje?
Iko namna hii: Ukiona msichana asiye mlemavu anamtegemea mwanaume, na kibaya zaidi ukiona hata ndugu zake wako radhi wajitegemeze kwake ujue "wanaji prostitute" na hawahitaji kuheshimiwa.Maadam huyo ni "malaya" akubali kila anachoambiwa na "mteja" vinginevyo asepe fasta!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom