Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

Hahahah kabisa yani safi sana mkuu hahah
 
So wewe kusamehe na ku start afresh ni ngumu??
Nisiwe mnafiki yani kama utakuwa na muonekano flani hivi wa mwanamke ninayemuhitaji basi nitakusamehe mdomoni tu ili iwe rahisi kukupata kwa muda huo ila moyoni siwezi kukusamehe kamwe.
 
Yaani umefanya kosa tena la usaliti then unajistaki mwenyewe subiria malipizo yake nawe uwe tayari kumsamehe mana atafanya makusidi ili akuumize
 
Acha uboya. Huwezi kumtenganisha mtu na mamake.
 
Tena hata ikifumaniwa, singizia pombe banaa, au hata bangi... Huku ukishikilia kuwa hujagegedana.... KUKIRI JAMBO HILO KUNAGHARIMU... kila kosa utakalofanya baada ya hapo LAZIMA UTAKUMBUSHWA ULICHOKIRI HADI MWISHO WA MAISHA YAKO
Nimekumbuka kitu dah maisha haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…