Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

Watoto wa siku hizi bhana we umecheat hujakamatwa unajishtak mwenyewe unakuwa na akili kwel????alisharikoroga ogopa mtu analiyekuamin alafu ukaja kuharibu sku moja,ndio anaweza kukusamehe lakini hujui anachokiwaza.
Wadada,kamwe kamwe usije kukubali kwamba umechepuka,najua kuna wanaume atakwambia baby ukinieleza vzur bila kunificha m ntakusamehe,narudia usithubutu,yaani kama hujanifuma laivu sahau kukwambia ndio nilifanya hik kitu.
Yaani kama hujanifuma naruka mita miambili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nini kimekuchekesha hivyo Cole?
 
Ni ku act like anything has ever happened..!
Unachoma na ushahidi hahaha!!
 
Apart from kuhisi kwamba hajasamehewa ajiulize ka bado ana hisia nae. Maana inawezekana hata haogopi kua hajasamehewa,ni kwamba anatafuta njia ya kurudisha mazima majeshi kwa ex(kashanogewa).

Ila kama bado anampenda,sio mbaya to take a shot. Kuna kukosa na kupata. Moyoni unakua na amani nilijitahidi kurudisha mahusiano ikashindikana. Bas. Kuliko kuhis hisi.
 
Wanaume mna mahesabu ya mbali walaqhi..!!
 
duuh'..!!
Mnavumilia mengi kumbe!!
Sema wanaume uvumilivu mnauweza bwaana.!!
 
Anadai anampenda jamaa ila huo msamaha ndo kitu anahofia hana uhakika nao, na kwa comment za wanaume nilizisoma hapa aiseeh' a move on tu.!!
this is suicide..!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] dogo kazingua anajipeleka polis duh!m nadhan ukichepuka bahat mbaya cha kujari sana n afya bas
Mambo ya uaminifu siku hizi yashakuwa magumu, men lies women lies.!!
 

hapa ndipo utakapo jua kuwa cha msingi baina na mwanaume na mwanamke ni kugegedana na sio jengine
pili ni kwamba long distance never works if they say it does basi kaa ukijua one of both parties are cheating.
 
hapa ndipo utakapo jua kuwa cha msingi baina na mwanaume na mwanamke ni kugegedana na sio jengine
pili ni kwamba long distance never works if they say it does basi kaa ukijua one of both parties are cheating.
So you mean it's a rare case eti ukute both parties hawa cheat??
 
So you mean it's a rare case eti ukute both parties hawa cheat??

hamnaga kitu hicho bwana wewe.....kama ingekuwa hivyo people wouldnt bother getting into relatioships. watu tunaingia kwenye relatioship ili tupate papuchi na mgegedo...intimacy is the core of any relation. mambo ya kudanganyana eti or sijui tutapigia simu siju skype, hamna kitu kama hicho.
 

Hata mimi nimeshangaa sana juu ya hilo. Bwana huyo huko alipo, lazima naye anatenda kama kawa..
 
Hili jibu linakatisha mno tamaa!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…