Ni mimi sijaelewa vizuri au??! Ni miezi miwili iliyopita na bado jamaa hajaelewa cha kufanya!!! Kama ni hivyo mwambie aendelee kutoelewa cha kufanya... Ilitakiwa siku iliyofata yeye na wife wake waende wakamuone 'mgonjwa'. Sasa mtu amezubaa miezi miwili imepita bado anatafuta cha kufanya!!
Jamaa ameniomba ushauri na mie naomba ushauri hapa jamvini
Jamaa ameniomba ushauri na mie naomba ushauri hapa jamvini
Si kwamba kazubaa kwa jinsi ninavyo mwelewa nahisi yupo kwenye denial window haamini kama ni kweli.
Miezi miwili unaendelea kukaa na kinyongo kisichokuwa na maana......si ubibi huo?? Acha kisirani, utakufa huku umesimama oohoooh!!!