Ingekuwa wewe ungefanyaje kiukweli?

Aine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,603
488
Kuna jamaa mmoja mtaani kwetu ni dereva tax, mteja mmoja ambaye wamezoeana sana na mara nyingi huwa anatumia tax yake kumpeleka sehemu mbalimbali alimpigia simu jioni giza ndo linaanza kwamba amfuatie nyumba ndogo yake kisha amlete guest fulani. Jamaa alipokwenda kumfuata ghafla kumbe ni mke wake!!!!!!!!!! yule mwanamke akaingia kwenye tax haraka sana ili majirani wasimuone. Akiwa hajui kabisa kama yuko kwenye tax ya mume wake, mume akageuka na kumuuliza yule mke wake unaenda wapi, mwanamke baada ya kuona ni mume wake nusura ajirushe nje, ikawa patashika nguo kuchanika!Ingekuwa wewe ungefanyaje kiukweli kabisa?
 
mi sijaelewa sawa sawa..............???????
mume wako ndio derva halafu anakufuata wewe kukupeleka kwa hawara yako bila yeye kujua kama anakufuata wewe na wewe bila kujua kama mume wako ndiye anayekufuata, umeelewa mamii?

Mchango wako basi
 
mmmhh ndugu yangu hapo patakuwa na kaazi kweli kweli.... labda ashuke aseme nimeghairisha safari nilikuwa nenda chukuwa wageni wangu guest lakini kumetokea dharura wameondoka guest hawapo,,, si bas mchezo umekwisha,,,

Kama uongo vile....:redfaces:
 
Ningekuwa mimi wala nisingemuongelesha, najifanya simjui, namfikisha kwa bosi, nachukua hela yangu, naondoka zangu kuendelea na shughuli zangu, ndoa kwishney!!!
 
ningeuchuna nikamfikisha kwa boss ningevuta mshiko halafu ningeenda kumshtua mke wa BOSS aje afanye VARANGATIIII
 
una-pretend kuwa bubu ghafla au kipofu na kumwelekeza kwa vitendo na ushungi mkubwa kuliko maelezo
 
mmmhh ndugu yangu hapo patakuwa na kaazi kweli kweli.... labda ashuke aseme nimeghairisha safari nilikuwa nenda chukuwa wageni wangu guest lakini kumetokea dharura wameondoka guest hawapo,,, si bas mchezo umekwisha,,,
kweli krahisi rahisi hivyo ? umesahau kibano?
 
Ningeomba msamaha kwa mume wangu,na ingekuwa mwisho wa kutembea nje ya ndoa...:redfaces::redfaces:
 
Ningekuwa mimi wala nisingemuongelesha, najifanya simjui, namfikisha kwa bosi, nachukua hela yangu, naondoka zangu kuendelea na shughuli zangu, ndoa kwishney!!!
Halafu akirudi nyumbani?
 
mmmhh ndugu yangu hapo patakuwa na kaazi kweli kweli.... labda ashuke aseme nimeghairisha safari nilikuwa nenda chukuwa wageni wangu guest lakini kumetokea dharura wameondoka guest hawapo,,, si bas mchezo umekwisha,,,
Wakati dereva kaumuambia kabisa amfuate nyumba ndogo yake! hao wageni utalikoroga zaidi bora useme ukweli kisha omba msamaha
 
Back
Top Bottom