Nyanda Banka JF-Expert Member Joined Mar 14, 2023 Posts 333 Reaction score 1,261 Aug 22, 2025 #1 CHAKUSHANGAZA Tukio hili lilitokea Januari 25, 1995 nchini Uingereza. Ni miaka 30 na miezi kadhsa sasa.. Eric Cantona alimpiga teke la flying kick shabiki aliyekuwa akitolea maneno machafu kila alipogusa mpira!
CHAKUSHANGAZA Tukio hili lilitokea Januari 25, 1995 nchini Uingereza. Ni miaka 30 na miezi kadhsa sasa.. Eric Cantona alimpiga teke la flying kick shabiki aliyekuwa akitolea maneno machafu kila alipogusa mpira!
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,671 Reaction score 167,734 Aug 22, 2025 #2 Teke la kwendea MOI....
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 10,717 Reaction score 33,987 Aug 22, 2025 #3 Kungfu kick Ilimweka nje kwa muds mrefu sanaaa
A Angada JF-Expert Member Joined May 19, 2024 Posts 1,857 Reaction score 3,257 Aug 22, 2025 #4 Wakati mwingine bangi inaonewa na kupewa sifa mbaya
Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 5,511 Reaction score 19,189 Aug 22, 2025 #5 Na ndio tukio analolipenda sana kwenye maisha yake na Wala hajutii mwenyew anasema alimfundisha adabu shabiki wa watu
Na ndio tukio analolipenda sana kwenye maisha yake na Wala hajutii mwenyew anasema alimfundisha adabu shabiki wa watu
Buttler Jo JF-Expert Member Joined May 26, 2025 Posts 901 Reaction score 806 Aug 22, 2025 #6 Nyanda Banka said: CHAKUSHANGAZA View attachment 3448827 Tukio hili lilitokea Januari 25, 1995 nchini Uingereza. Ni miaka 30 na miezi kadhsa sasa.. Eric Cantona alimpiga teke la flying kick shabiki aliyekuwa akitolea maneno machafu kila alipogusa mpira! Click to expand... Haha!! Noma sana hii.. Maamae!
Nyanda Banka said: CHAKUSHANGAZA View attachment 3448827 Tukio hili lilitokea Januari 25, 1995 nchini Uingereza. Ni miaka 30 na miezi kadhsa sasa.. Eric Cantona alimpiga teke la flying kick shabiki aliyekuwa akitolea maneno machafu kila alipogusa mpira! Click to expand... Haha!! Noma sana hii.. Maamae!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,923 Aug 24, 2025 #7 Ni sawa tu... Cc: Mahondaw