kwa kweli kwa hizi kashifa zinazoendelea kwa mapadri ingekuwa ni amri yangu wote ambao wanataka upadri waasiwe na ihakikiwe mitarimbo imelala doro ndo asimikwe upadri mana hii ni aibu sana na hii michezo ata hapa itakuwa ilikuwepo na kama ilikuwepo ilifanyika kwa urahisi sana kwani wadanganyika ni waoga sana wangekaa kmya mapdri wangejisevia kwa kwenda mbele.
mtazamo wangu kwa vile kunamasista kwa nn wasichukuane wenyewe kwa wenyewe wala isingekuwa na makelele
kwani hiyo sheria imewekwa na watu au mungu?
kama imewekwa na watu wanaweza kuibadili............kama imewekwa na mungu wao hawana uwezo wa kubadili

mimi mtazamo wangu....wangeruhusiwa waoe/olewe kabisa ili kukata mzizi wa tamaa.
kwani hiyo sheria imewekwa na watu au mungu?
kama imewekwa na watu wanaweza kuibadili............kama imewekwa na mungu wao hawana uwezo wa kubadili
Mimi namuunga mkono mjumbe hapo juu. Kwamba Waruhusiwe waoe na waolewe kama ni masister. Hii ndo itasaidia kwani hata Mtume Paulo alisema. Mkiweza kukaa kama mimi kaeni la hamuwezi OENI kuliko kuwaka tamaa.
ndio maana a Mungu huwa Amri na ya kanaisa huwa sheria tu....
hata hivyo maisha ya utawa ni wito
kama hujaitwa huko ndo maana kuna maisha ya ulei pia
the choice is ones...............and wide
a) Kwa Mamlaka yapi utakayotumia kuwahasi hawa watu?
b) Hata ukiwahasi - utakuwa umetatua tatizo moja na umefungua jingine, suruhisho sahihi huwa ni kumaliza tatizo lililopo bila kutengeneza jingine.
c) kuwaozesha na masista hutakuwa umetafuta suruhisho la kwanza na badala yake utakuwa umetengeneza jingine maana sasa kazi haitafanyika hapo karokiani - kazi itakuwa mapenzi tu.
Tatizo kweli umelileta kwetu, lakini mapendekezo yako hayamalizi tatizo bila kutengeneza jingine.
kwa kweli kwa hizi kashifa zinazoendelea kwa mapadri ingekuwa ni amri yangu wote ambao wanataka upadri waasiwe na ihakikiwe mitarimbo imelala doro ndo asimikwe upadri mana hii ni aibu sana na hii michezo ata hapa itakuwa ilikuwepo na kama ilikuwepo ilifanyika kwa urahisi sana kwani wadanganyika ni waoga sana wangekaa kmya mapdri wangejisevia kwa kwenda mbele.
mtazamo wangu kwa vile kunamasista kwa nn wasichukuane wenyewe kwa wenyewe wala isingekuwa na makelele
ila wengi wamechagua awajaitwa ndo mana yanatokea tunayoona leo
wametoa kwenye bibilia mtume paulo ndo alisema kama mtu ataweza kukaa bila mke kama mm ni bora ila ilikuwa ni maoni yake wala si mungu.
Mungu yy anasema si vyema mtu kuwa peke yake,anaendelea zaidi kusema ale wake aliyepeke yake
Aibu sana! mapadri wote kwa nini wasipelekwa kule mererani ila scan iwapitie kwani wana faida gani ya kutotoa! hiyo mashine iwapitia hawa tena iue kila kitu....wawe mitarimbo doro kabisa....wanatia aibu kwa sisi waumini wao wanatufundisha nini sasa! kila siku mapadri mapadri tumechoka..
mh mkuu inamana na yy ni.......... du god have mercy
tatizo mojja kubwa linalowakabili ndugu zetu waoga na awataki mkulikubali neno la mungu kwenye biblia wanataka lifwate wanavyotaka wao ndio maana kuna yule mzee mmoja alikuwa anawachapa sana neno la mungu wakaondoka wengi wakaawa wanasali wakashangaa wakatoliki how kamu miujiza inatokea mapepo yanatoka awakujua siri ya yule bwana .....nikumbushen kidogo mpaka wkaatangaza kutowaruhusu kula sakrament watu wake.....wananganagnia neno sehemu moja ukiwapeleka upande wa pili wanakuadhibu.....
Shalom paka jimmy