Ingekua wewe ungefanya nini kwenye mtego huu?

Huyo binti ALIMTAKA mwenyewe, kwani alimtumia sms kwamba ana "something special" ya kumpa. Inaonekana dada mtu alimzimikia.

Sishabikii ufuska, lakini wote wanawajibika kwa pamoja. Naona lawama zimezidi upande mmoja tu.

Huyo kaka asingeshawishika kama asingewashiwa "taa ya kijani". Ukiwa kwenye junction, kama taa za kuongoza magari ni "nyekundu" wala huthubutu, labda uwe fisadi. Na siku hizi mafisadi barabarani wameongezeka sana, hata kama taa yenyewe ni ya "mama mtu" wao wanakwea tu! Na inawezekana mama mtu hajapata muda mrefu, lakini wao hawajali.... ufuska, ufisadi.... hizi ni alama za nyakati za mwisho, tukae chonjo, kiama kinakuja!

Du! Dunia imekwisha!
 
Yaani wewe ni pimbi kweli yaani! mtoto wa shule unamfanya hivyo halafu sis wa rafiki yako, isitoshe umekaribishwa kwa ukarimu, huna maana kabisa wewe sasa unataka ushauri gani labda uende jela ndo utafungua akili, ok by the way ingekuwa mimi nisingekubali hata kuongea nae kama alipotaka, halafu hujasema kapataje namba yako mpaka akutumie sms kama si dili ulilopanga na yaelekea ulimdanganya na vijizawadi, ukweli umekosa adabu kabisa na jela inakufaa
 
Sasa ndugu kama ungekua wewe na situation hiyo ungefanyaje? Na huyu binti anataka kumwambia kaka yake kuwa mimi ndio boyfriend wake, sasa hawa jamaa wataonielewa kweli na dada yao ndio hasikii la mnadi swala wala la mwazini. nishaurini jamani

Ulichifanya sio kizuri, na watu kama nyinyi Mungu huwa anawalipia, tegemea kufanyiwa hinyo na wewe, utafanyiwa au kwa atakaye kuwa mkeo kama ujaoa, au binti yako au dada yako
 
Dhahiri wote mnapendana, unajibaraguza tu hapa. Mbona unasema mliongea mawili matatu wala husemi ni yepi mliongea ya maisha? Nilidhani kavutwa na mawazo yako ya maisha akadhani anaweza kuishi nawe, na kwa kuwa muda ulikuwa mfupi kukaa pamoja, aliamua kukupa special ambayo hata wewe uliitaka. Najua maumbile ya form four yanavyochanganya vijana rijali, ungemwambia tu unampenda, kwa kuwa una kaka yake aliye rafiki yako na anayekuamini, basi ungepropose kitanzi cha maisha naye lakini ukimsisitiza amalize shule nawe umsaidie amalize vizuri.

Una bahati maana kama kweli ilikuwa special, ulikula yote nyama laini yake, naye akakubali kumeza mwensake pasipo kinga yoyote. Kama mlikinga basi mlishajiandaa na wala sio mashtukizi. Kumbuka wanyalukolo mabinti wanapenda sana kuishi Dar, nawe ulishasema unakaa Dar, labda alishapiga hesabu ya namna ya kuingia Dar sio kama house girl bali housewife. Chunga sana, wanyalukolo sambi sako mwenyewe, kwao hakuna taabu, lakini vijana wa sasa wana machale makali. Kama hujaoa, nakushauri umwoe tu akimaliza shule. Kurukaruka hakutakusaidia, utajikuta unabeba mdudu bila kutarajia. Labda kama umtaalam, specialist wa kumezwa. Ukizoea vibaya siku ukipata ile kitu ya kwako mwenyewe hautatulia, maana japo bucha zina nyama inayofanana, makarangizi ni tofauti na itakucost. Kuna jamaa alikuwa anamezwa na huyu physically lakini kumbe akilini mwake alikuwa anamezwa na mwingine, kwani aliyekuwa naye hapo alimwona baridiiiiiii!

Leka

Mwana tutake lazi, nani anapenda kuishi sehemu yenye kero nyingi!? evrythin Dar kero, akha!! bora niishi Iringa kwetu kila kitu tambaraaare kusnzia maji, umeme, foleni magari, hali ya hewa nakazarika.
So, acha imani potofu mkuu))
 
Gudboy!!! Ulitumia condom wakati unamega huyo minor? Yaelekea ni kakicheche maharage ya mbeya, suppose umebahatika hujaambukizwa ngoma au ugonjwa wowote wa zinaa utataka tukushauri??? Ingekuwa rafiki yako umemkaribisha kwako akammega dada yako tena mwanafunzi ungefanyaje??? Mchana mwema usije kunipotezea appetite bure!!
 
Hapa hakuna wakukushauri mtu kama wewe,nyie ndio mijitu mnaopataga miukimwi alafu mnasingizia mmerogwa,solution mnakimbilia kanisani,sasa kwa mtindo huo unafikiri utaepuka vipi ngoma?Wewe hufai kuitwa rafiki na mtu yeyote,unafadhiliwa na huthamini fadhila,je huyo kaka yake angekufuma ungemdanganya nini,au ndio gia zenu za kujidai ulikuwa unampiga tuit?Sasa tudanganye kama ulitumia kinga,au kwakuwa mwanafunzi ndio unajua mzima?Jiheshimu we kahaba la kiume!!!

Hivi ni kosa kumpenda dada wa rafiki yako!??
Na kwanini jamaa anashambuliwa tuuuu,! jamaa katambua kosa thus anaomba ushauri, so tumpe ushauri istead of pondaring.
Babu zetu walisema kosa si kosa bali kulirudia.
Gudboy ka kiukwelia unamfeel dogo, endeleza libeneke, but sio kizembe na ukifika wakati nenda kajitambulishe, sio kosa kabsaa!!
 
hapana ndio kwanza nimemaliza chuo, naangalia kwanza maisha then hayo mengine nitarekebisha baadae, maana sitaki familia yangu ipate tabu si unajua tena maisha ya sasa

Gud!! u deserve hilo jina)) wish all the best mwana))
 
ebwana unatisha ile mbayaaaaa!. please nakuomba my bro tabia hiyo uiache, katika jamii haistahili ndugu yangu, pia unawezaje kumpenda msichana siku mbili tu na ukamwamini na mbayaaaa zaidi ni mdogo wake rafikiyo, think twice before you make decision,
 
Yaani wewe ni pimbi kweli yaani! mtoto wa shule unamfanya hivyo halafu sis wa rafiki yako, isitoshe umekaribishwa kwa ukarimu, huna maana kabisa wewe sasa unataka ushauri gani labda uende jela ndo utafungua akili, ok by the way ingekuwa mimi nisingekubali hata kuongea nae kama alipotaka, halafu hujasema kapataje namba yako mpaka akutumie sms kama si dili ulilopanga na yaelekea ulimdanganya na vijizawadi, ukweli umekosa adabu kabisa na jela inakufaa
hapana kaka, namba yangu alipewa na kaka yake siku aliponiambia nimsindikize sokoni, halafu mi mwenyewe choka mbaya ile ile na yeye ndo alikua akinitega. Suikumpa hata senti tano maana ningekosa nauli ya kurudi kwetu dar
 
Ulichifanya sio kizuri, na watu kama nyinyi Mungu huwa anawalipia, tegemea kufanyiwa hinyo na wewe, utafanyiwa au kwa atakaye kuwa mkeo kama ujaoa, au binti yako au dada yako
duh!!!!!!!!!!
 
Gudboy!!! Ulitumia condom wakati unamega huyo minor? Yaelekea ni kakicheche maharage ya mbeya, suppose umebahatika hujaambukizwa ngoma au ugonjwa wowote wa zinaa utataka tukushauri??? Ingekuwa rafiki yako umemkaribisha kwako akammega dada yako tena mwanafunzi ungefanyaje??? Mchana mwema usije kunipotezea appetite bure!!
kwa kweli sina majibu ya maswali yako ila ndo imetokea na najuta kumfahamu yule binti
 
Hivi ni kosa kumpenda dada wa rafiki yako!??
Na kwanini jamaa anashambuliwa tuuuu,! jamaa katambua kosa thus anaomba ushauri, so tumpe ushauri istead of pondaring.
Babu zetu walisema kosa si kosa bali kulirudia.
Gudboy ka kiukwelia unamfeel dogo, endeleza libeneke, but sio kizembe na ukifika wakati nenda kajitambulishe, sio kosa kabsaa!!
shukrani sana kaka kwa mawazo mazuri
 
ebwana unatisha ile mbayaaaaa!. please nakuomba my bro tabia hiyo uiache, katika jamii haistahili ndugu yangu, pia unawezaje kumpenda msichana siku mbili tu na ukamwamini na mbayaaaa zaidi ni mdogo wake rafikiyo, think twice before you make decision,
poa, but ilikua na bahati mbaya mazee
 
Du bro yani kwenye sofa heb u tueleze inonekana ni mzoefu,kwenye sofa ikoje na kwa kitanda iko vipi nami nihamie kwenye kochi,ila ugenini next tym utachezea mapanga
 
Nilikua na plan ya kwenda Mafinga huko mkoani Iringa baada ya miaka 10 kupita toka nilipohama. Kitaa kuna jamaa ambaye naye anatokea huko, katika kupiga story akaniambia ukitaka kwenda niambie maana yeye kaka yake anakaa kule hivyo atanipokea. Nikafurahi maana sikujua pa kuanzia ukichukulia ni muda mrefu umepita.

Siku ya safari ilipofika nikamwambia mshkaji basi naye akampigia simu bro wake na kumpa namba zangu, basi bro wake naye akanigongea kuwa nipo nakusubiri.

Nilipofika kweli jamaa alikuja nipokea akiwa ameongozana na demu wake. Akanipeleka hadi home kwake ambapo kuna chumba kimoja na sebule. Lakini yule demu wake alikua anakaa kwa wazazi wake.

Jioni tukaenda ofisini kwa jamaa, baadae akaje msichana mmoja alikua na umri kama wa miaka 18 mpaka 20 hivi. Sikua nimefahamu mpaka tulipofika nyumbani jioni nikamuona yeye ndio mpishi na kugundua kuwa anasoma kidato cha 4. Baada ya kula nikawa nawaza sasa huyu binti atalala wapi? Baadae sisi tukaingia chumbani na yule binti akalala pale sebuleni kwenye sofa.

Siku ya pili nikazunguka zunguka, baadae binti akanipigia simu kuwa kaka yake amemuagiza kuwa nimsindikize sokoni, nikaenda nae sokoni. Usiku wa siku ya 2 jamaa aliingia chumbani kulala, hivyo tukabaki na yule binti tukiangalia TV na huku tukipiga story hadi saa 7 usiku nikaingia chumbani kulala.

Siku iliyofuata tukaenda kutembea tembea huku tukizungumza mawili matatu. Usiku ulipofika nikawaaga kabisa jamani leo nitawahi kulala, maana kesho narudi dar. basi yule binti akanitumia sms "tafadhali usiwahi kwenda kulala I have something special for you". Nikaisoma na kuuchuna, baadae jamaa akaenda kulala kama kawaida yake, mimi nikabaki kuona hiyo special ni nini? tukawa tunaangalia move huku tumekaa kochi moja, lakini nikaona hakuna special yoyote mbona yupo kimya? Baadae nikamtekenya kwa kidole changu cha mguu, nikaona anarepond, hatimaye nikamkumbatia, tukaanza kucheza, hapo kumbuka kaka yake amlala chumbani.

Baadae tulipozidiwa tukaduu pale pale sebuleni kwenye kochi, huku nikiwa naenda kuchungulia mlangoni kupitia uwazi wa mlango kama jamaa kalala au anatuchora. Baada ya kumaliza nikaenda kulala. Siku ya kuondoka binti hataki niondoke, nikafikiria na kuwaza kuwa huyu binti anataka kuniletea balaa, huyu kaka yake akishtukia si itakua balaa, na angejua tu maana dogo alikwishachanganyikiwa na lile penzi la wizi. Nikafosi kuondoka kwa kujua jamaa akishtukia mchezo atanikata mapanga si unajua tena watu wenyewe wanyalu, na pia ingekua noma kwa mshikaji wangu dar akijua kuwa nilimmega dada yake.

Sasa ndugu kama ungekua wewe na situation hiyo ungefanyaje? Na huyu binti anataka kumwambia kaka yake kuwa mimi ndio boyfriend wake, sasa hawa jamaa wataonielewa kweli na dada yao ndio hasikii la mnadi swala wala la mwazini. nishaurini jamani

Mzee wa ma-lovee!! Napenda nikuite hivyo kama kawaida yako issue zako ni zilezile visa na vituko vyako vya TOTOZ!!
Nakusoma Mkuu! ila ushauri wangu kaka punguza "striking" zako kwa hawa viumbe ukizingatia sasa kuna "kitu kikali".....,NO LOVE....NO GLOVES!!
 
Du bro yani kwenye sofa heb u tueleze inonekana ni mzoefu,kwenye sofa ikoje na kwa kitanda iko vipi nami nihamie kwenye kochi,ila ugenini next tym utachezea mapanga
hahahaha umenichekesha kweli, ujue kitu chochote unafanya kutokana na mazingira, kwa hiyo kama mazingira yakiruhusu sehemu yoyte mtafanya iwe ******, vichakani, kitandani, chumbani na kwingineko ilimradi mazingira yanaruhusu, halafu si unajua tena penzi la wizi ndg linavyokua. Ila kama una mke wako unaweza fanya mapenzi popote pale maana ni wako tofauti na wakuvizia
 
Mzee wa ma-lovee!! Napenda nikuite hivyo kama kawaida yako issue zako ni zilezile visa na vituko vyako vya TOTOZ!!
Nakusoma Mkuu! ila ushauri wangu kaka punguza "striking" zako kwa hawa viumbe ukizingatia sasa kuna "kitu kikali".....,NO LOVE....NO GLOVES!!
poa mkuu nimekupata vilivyo
 
we Good boy..yaani bado unajadili tu hii ishu, hivi bado tu unakachezea hako katoto ka secondari?...usijivunjie heshima hadharani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom