Ingekua wewe ungefanya nini kwenye mtego huu?

Ngoja nimtafute huyo binti Moro sec najua nitampata tu alafu naorganize ufunguliwe mashtaka ya kumega kinguvu huyu binti naweza sema ulimbaka alafu tunapima virusi wote wawili akibainika anavyo basi itabidi uozee jela tu maana hakuna haja ya kusikiliza kesi umesha mwaribia maisha huyu binti.
kaka kwanza hautaelewana nae hata kidogo, na pia jinsi anavyojali yupo tayari kwa lolote, sema kwa kuwa nayajali maisha yake ya baadae ndo maana huwa nampotezea hata kuwasiliana nae, mtoto understanding. kwanza yeye ndio kanibaka mimi, mbona hunishauri nikafungue mashtaka? mimi pia nilikua mwanafunzi na yeye ndio kanitega. na kwa nini hakuna kesi za wanaume wanaodai kubakwa na akina dada ilhali na wao huwa wanabakwa kama nilivyobakwa mimi?
 
kwanza mimi nisinge mchapa huyo mtoto. then wewe usiwe weak kihivyo mtoto wakiume zingatia mausiano mema na refiki zako coz hauoni kama wamekubeba sana kukupa hifadhi hiyo ndo faida yao au???? kama ni hyo utaduuu na wengi cz mjini hapa si ndo watoto balaaaaaa
hapana siwezi kufanya hivyo tena kutokana na mimi mwenyewe nimejua kuwa nimefanya kosa, kwa hiyo sasa hivi nipo makini mkubwa> Ila hawa watoto sometimes ndo causative wa hizi ishu, sasa hivi vikija kwanza navilamba makofi halafu nawashtaki kwa wazazi wao au vp?
 
...Mh mbona umepatwa na uchungu wa ghafla baada ya kupewa hizo details? au we ndo kakamtu? Pole swity
inawezekana kabisa, kama ni kaka yake naomba unisamehe. Ila hata yeye nasikia kwa ishu hizi si mchezo, maana eti wadada hapa wanamuogopa. Halafu watu wanaopenda mambo haya kwa kumind wenzao usipime
 
kaka kwanza hautaelewana nae hata kidogo, na pia jinsi anavyojali yupo tayari kwa lolote, sema kwa kuwa nayajali maisha yake ya baadae ndo maana huwa nampotezea hata kuwasiliana nae, mtoto understanding. kwanza yeye ndio kanibaka mimi, mbona hunishauri nikafungue mashtaka? mimi pia nilikua mwanafunzi na yeye ndio kanitega. na kwa nini hakuna kesi za wanaume wanaodai kubakwa na akina dada ilhali na wao huwa wanabakwa kama nilivyobakwa mimi?

Ah more are to be revealled here ukibanwa zaidi! Kumbe wote madent?!
 
...Mh mbona umepatwa na uchungu wa ghafla baada ya kupewa hizo details? au we ndo kakamtu? Pole swity

Kwa vile nataka kuolea huko 2012 napata na uchungu maana anaweza muharibia future yake huyu binti si unajua nyie mabinti ukipata mimba tu ndo basi tena shule hakuna tena labda dingi akuonee huruma vinginevyo utaishia kumegwa megwa ovyo ovyo na watoto wa kijiweni hapo kitaa.
 
swali gumu sana hili kaka

Sema hukumbuki kama ulikuwa na condom au huyo binti hukumbuki kama alitumia zile za kike basi lakini najua ulimega kavu maana umesema ilikuwa fasta ulifanya kama jogoo.
 
unajua sikua nimejiandaa kabisa kufanya ile ishu na wala wazo hilo sikua nalo, kwa hiyo kondom inahitaji mtu aliyejiandaa na kukusudia kabisa kufanya jambo, kwa hiyo sina kumbu kumbu nzuri kama naye pia alikua amjiandaa, ila inawezekana maana ni yeye aliyeniahidi pecial gift, may b alikua full
 
Hehehe kwa hiyo akiri zako zilihama kwenda ulimwengu mwingine kabisa ukawa hujitambui kama ulivushwa au lah basi ulimega hivi hivi teh teh teh.
Je vp uliona kitu used au sealed wewe ukawa wa kwanza?
 
wewe mchokozi sana wewe, maana unaulizia sana ili upate ushahidi. Ni hivi haka ka binti kafundi sana tu, tena hata huo ulokole ni uzushi, watu walishazibua siku nyingi sana, labda aweke sealed ya kichina
 
unajua sikua nimejiandaa kabisa kufanya ile ishu na wala wazo hilo sikua nalo, kwa hiyo kondom inahitaji mtu aliyejiandaa na kukusudia kabisa kufanya jambo, kwa hiyo sina kumbu kumbu nzuri kama naye pia alikua amjiandaa, ila inawezekana maana ni yeye aliyeniahidi pecial gift, may b alikua full

Watu kama nyinyi ndo mnatakiwa muwe mnazivaa kabisa asubuhi mnapovaa pants zenu maana duh mna maamuzi ya papo kwa papo
 
wewe mchokozi sana wewe, maana unaulizia sana ili upate ushahidi. Ni hivi haka ka binti kafundi sana tu, tena hata huo ulokole ni uzushi, watu walishazibua siku nyingi sana, labda aweke sealed ya kichina

Duh kumbe toto la kinyalu litundu hivyo?
Maana mi nimezoea kuona watoto wa Kinyalu hawajui maufundi au wewe ulikuwa unafundishwa ilikuwa siku ya kwanza kumega?
 
Yeah hii tunaita ni titi for tati au baho baho kama kuku vile au sio MJ1.

HAswaaa yaani mwanaume anajikoki kabisa asubuhi huyoooo anachanja mbuga akiwa tayari tayari akipata mawindo ah yeye anayeya tu kama ananawaaa! lol
 
Kama ulimpenda na kwa kuwa uliwavunjia heshima, basi chukua mzigo kimoja kusawazisha mambo. Utakuwa umekamilisha yote. Ila mkapime kwanza!
 
Yeah hii tunaita ni titi for tati au baho baho kama kuku vile au sio MJ1.
lakini mbona na wewe ulimpa mimba yule binti ukamtosa, kwanza hujasema imeishia wapi. Kumbe na wewe huwa unabanwa kwenye angle. Yule hajui kitu mtu wangu ila jamaa walishamtungua, yupo used. Atayaweza wapi maufundi ya kitanga? mwana mdogo wako kidogo kapawa hadi anataka kuwaeleza kaka zake kuwa kwangu ndo kafika ikabidi nimstopishe
 
HAswaaa yaani mwanaume anajikoki kabisa asubuhi huyoooo anachanja mbuga akiwa tayari tayari akipata mawindo ah yeye anayeya tu kama ananawaaa! lol
dada hujatulia wewe, ninyi ndio mnaweza kuvaa hata masaa 12 kabla ya tendo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom