Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,958
Mkuu naona hutaki utani kabisaSivunji utaratibu naanza 1 then 2.
Unazungukaje mdauningecheza namba 6 kwasababu namba 6 anazunguka uwanja mzima.
Mkuu kwa nini usiwe una panda na kushuka (Beki Mashambuliaji) kama alivyokuwa akifanya Roberto Carlosnamba nazocheza ni 7 nikichoka narud 2 nahuwa cpand tena
cna pumzi ya kutosha broMkuu kwa nini usiwe una panda na kushuka (Beki Mashambuliaji) kama alivyokuwa akifanya Roberto Carlos