Ingekua wewe ungechagua nini? Kati ya data analysis au programming?

Optimists

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2021
Posts
395
Reaction score
1,133
Nina mwanafunzi anayesoma ICT, Yuko mwaka wa kwanza Sasa, amenambia wanagusa Kila sehemu wanasoma cyber security, networking, web development, programming, n.k kaniuliza achague kipi hasa kitakachomsaidia kwenye kujiajiri? Au kufanya kazi na kampuni mbalimbali, kuliko kusubiri ajira za serikali?

Nimemshauri Asome vyote , kanambia anaweza kuwa na theory kichwani lakini practical ikamshinda, anataka akomae na angle moja vizuri then akimaliza ajue Cha kufanya.

Nimeona kwenye ajira za sikuhizi zimevunjwa vunjwa sana, utakuta wanahitaji labda programmer, data analysis, cyber security n.k

Kwa future ya Tanzania tunayoiendea mchongo upi kwake utakua rahisi? Then issue ya data ikoje binafsi sijawai kuisikia.
 
Apige programing Ni nzuri Kwa Dunia tunayoenda na tuliyopo.
 
Screenshot_20260313-182141_X.jpg
 
Back
Top Bottom